Toka ujamaa na kujitegemea hadi unyama na kujimegea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Toka ujamaa na kujitegemea hadi unyama na kujimegea

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by A-town, Dec 3, 2011.

 1. A-town

  A-town JF-Expert Member

  #1
  Dec 3, 2011
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Wana jamvi
  Mimi naona giza tupu kuhusu miaka 50 ya uhuru yani mpaka leo tunazungumzia kuthubutu wakati wenzetu kama india historia inaonesha tulikuwa sawa kimaendeleo kipindi flani. Ninachoona ni kwamba hatua kubwa tuliyopiga kama taifa ni kutoka kwenye mfumo wa ujamaa na kujitegemea hadi mfumo wa unyama na kujimegea. Serikali imeingiza siasa kila mahali mpaka haitambui tena kipaumbele ni kipi,mfano wakulima hawa hawa wadogo wamekuwa wakilima kwa nguvu zao hizo ndogo na kuvuna walichokosa kwa kuanzia ni soko utakuta matunda yanaozea shambani msimu wa mavuno lakini super market zimejaa juice toka nchi za nje kwanini pasijengwe kiwanda cha kusindika matunda nk. Hivi kweli serikali ina nia ya dhati ya kuleta maisha bora?
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Dec 3, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Mkuu nchi hii haina serikali ina wabakaji wa demokrasia tu.
  Wamethubutu kuwaibia wadanganyika kwa miaka 50, na sasa wanasonga mbele kuwaibia kwa miaka mingine 50.
   
 3. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #3
  Dec 3, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Duh Mkuu hilo nalo neno!!
   
Loading...