Hadhi ya CCM imeshuka sana Wilayani Monduli!!!

Losomich

JF-Expert Member
Nov 9, 2011
371
71
Kuna taarifa za kuamini kwamba ccm imeanza kupoteza mvuto wake kwa kasi wilayani Monduli. Sababu hasa ni viongozi wa kitaifa wa ccm kuendelea kumsakama mh mbunge wa Monduli kapten MSTAAFU EL wakimtaka ajivue gamba, ile hali wakijua fika kwamba hawana ushahidi wowote ktk yale wanayotakumvua nayo gamba. Na kunaushahidi wa kutosha kwamba ktk chaguzi zijazo kwa vyovyote uongozi wa sasa utatelekeza jimbo hilo kwa chama chochote cha upinzani kitakachokuwa radhi kuichukuwa jimbo hilo.

Source: Viongozi wa kimila wa Wamasai (malagwanani).
 
yeye anapata coverage kila anakoenda, sijui analenga nini au wanaompa hiyo nafasi wanafanya kwa shinikizo au mapenzi.
Tanzania ya miaka 50, sisi tukae tusubiri tuone.
 
hata mimi nashangaa mchaga huyu wa machame wampe hiki cheo, kisa inawamwagia fedha.

hv swala la ukabila linaingiaje hapa? Bible inasema maskini hawatakaa waishe dunian,pia wapumbavu hawatakawaishe dunian!!
 
Watu wa Monduli ni mtaji wa ccm, yaani ukiwapa nyama ya ng'ombe kila kitu nje nje!
 
yeye anapata coverage kila anakoenda, sijui analenga nini au wanaompa hiyo nafasi wanafanya kwa shinikizo au mapenzi.
Tanzania ya miaka 50, sisi tukae tusubiri tuone.

penye uzia penyeza rupia
 
Ameanza lini kuitwa fisadi,
Walimupaje ubunge ili hali wanajua kuwa ni fisadi,

Aliyekupa hii habari ana chuki binafsi na EL
 
Back
Top Bottom