Kama dharau ikatokea - huko huko wanakofanya dharau hizi - Mh. Naibu Spika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama dharau ikatokea - huko huko wanakofanya dharau hizi - Mh. Naibu Spika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Baba_Enock, Aug 25, 2011.

 1. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Hii kauli ya Mh. Naibu spika imebeba ujumbe mzito sana!
   
 2. Imany John

  Imany John Verified User

  #2
  Aug 25, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,777
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  iyo kaul itamkosti.
   
 3. G

  Godwine JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2011
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  bunge lililoshindwa kusimamia madini yetu bora litukanwe tu na kudhalilishwa. jairo na luanjo eko mpaka pale wabunge watapojua kuishabikia serikali ni ujinga
   
 4. R

  Renegade JF-Expert Member

  #4
  Aug 25, 2011
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,769
  Likes Received: 1,074
  Trophy Points: 280
  Siasa mchezo wa ajabu sana, afadhali ya Draft, Ngoja tuone mwisho wake mshindi atakuwa nani? Huu uchaguzi wa 2015 utakuwa na visasi vingi sana ndani ya Magamba.
   
 5. A

  AlamaZA NYAKATI JF-Expert Member

  #5
  Aug 25, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 274
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii kauli hata mimi nimeipenda, kwamba kama kwenye mhimili wao wa kiserikali wanafanyiana dharau ni huko huko walikozoea kufanyiana hivyo. Angaalu kweli ni vizuri mhimili moja huu wa dola ukajali maslahi ya wananchi. Kwani wananchi wakienda serikalini taabu tupu ukienda kwenye mhimili wa mahakama kupata haki kwananchi ni miujiza ya Mungu.Sasa wananchi tukimbilie wapi, ndo maana nasema angalau bunge lijitofautishe ili wananchi wapate mahali pa kukimbilia
   
 6. MachoMakavu

  MachoMakavu JF-Expert Member

  #6
  Aug 25, 2011
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 370
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hii kauli ina ujumbe mzito sana, inamaana ikulu huwa inamfanyia dharau Waziri mkuu na rais anapuuzia tu!
   
 7. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #7
  Aug 25, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Hii nchi yetu haishi vituko. Kuna power vacuum; uongozi butu serikali legelege. power struggles; makatibu wakuu hawaelewani na mawaziri wao. Hili la bunge na serikali ni muendelezo tu.

  Ingawa naamini upon reflection, Ndugai anaombea hii kauli asingeitoa, it's bold but dangerous.
   
 8. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #8
  Aug 25, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Clouds Fm tayari wameshatengeneza wimbo wa Jairo Clouds FM
   
 9. t

  the mkerewe JF-Expert Member

  #9
  Aug 25, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 232
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tupo pamoja
  naunga mkono hoja
  Naizimia sana kauli ya MASABURI ambayo hata LUHANJO ameikubali na kuwapa stahili wabunge hawa wanaoishabikia serikali
   
 10. t

  the mkerewe JF-Expert Member

  #10
  Aug 25, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 232
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ridhiwan atawakemea sasa manake hao clouds ni ...................karibu na masabiri
   
 11. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #11
  Aug 25, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  May be the prime minister is not "User Friendly"
   
 12. t

  the mkerewe JF-Expert Member

  #12
  Aug 25, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 232
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hii kauli ina ujumbe mzito sana, inamaana ikulu huwa inamfanyia dharau Waziri mkuu na rais anapuuzia tu
   
 13. Aggrey86

  Aggrey86 JF-Expert Member

  #13
  Aug 25, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 856
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mmmmh! Jamani hili game ngoja 2one litakapoishia!
   
 14. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #14
  Aug 25, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Pinda kakaa kimya anasubiri kusemewa tu! it is high time now akunjuke na kusema kitu, serikali hii unafiki mtupu, JOB kasema hvyo kagongewa meza na wabunge lakini mwisho wa siku watakumbuka maslahi ya chama na kukaa kimya na kuliacha lipite.
   
 15. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #15
  Aug 25, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Aliposema 'hukohuko' alimaanisha kwenye mitandao ya kijamii. Watu wenye akili tuligundua mapema sana anachomaanisha.
   
 16. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #16
  Aug 25, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,927
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  Kwani Jairo/Luhanjo/CAG etc, wameonesha dharau gani kwa waziri mkuu/bunge kupitia mitandao ya kijamii?
   
 17. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #17
  Aug 25, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  kauli ina ujumbe wa dhahiri kwamba we Tanzanians are nothing, ni dharau ya hali ya juu.
   
 18. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #18
  Aug 25, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Ndugai wa mipasho
   
 19. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #19
  Aug 25, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  Ruge bana...
   
 20. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #20
  Aug 25, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,641
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Anashituka kuvuta shuka wakati kumekucha? Mpaka wamtie vidole machoni ndo akwepeshe macho? Na ya Masaburi, ni nukuu za misahafu?
   
Loading...