ngeleja na gamba nani anatuhusu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ngeleja na gamba nani anatuhusu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by steering, Dec 4, 2011.

 1. s

  steering Member

  #1
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  vyombo vya habari vimeng'ang'ania gamba la ccm ambalo ni wazi limefika kiunoni na limegota hapohapo. hata baada ya kuona hivyo, vyombo vya habari vimeshindwa kusimamia ajenda zinazohusu umma, kama ubadhirifu unavyoendelea ndani ya wizara ya nishati huku kupitia shirika lake, Tanesco ikitaka kupandisha bei ya umeme.

  nilidhani baada ya ripoti kamati teule ya bunge, media zingeshika bango kwa kuchimba zaidi juu ya ubadhirifu huo, badala yake ni ghamba, nenda rudi. najua magamba ni tatizo na ni msingi wa giza lililopo hapa nchini. lakini kkwa nini tuanze na mbili badala ya 1. kwa nini tusianze na ngeleja kwa uwezo wetu na kuiacha taasisi kama ccm iliyoamua kujichukulia uamuzi kulindana?

  Marxist aliwahi kusema, Media in capitalism is nothing else other means to maintain status quo......in this notion, tanzania media is real maintaining status quo-ngeleja, as they are beating around the bush on ccm-though its the system brought up ngeleja
   
Loading...