Miaka 50 ya uhuru - vituo vya polisi aibu tupu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miaka 50 ya uhuru - vituo vya polisi aibu tupu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Candid Scope, Dec 4, 2011.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Fedha zinazotengwa miaka yote hii fungu la maendneleo hakuna jitihada za kuboresha vituo vya polisi kama hiki kinachoonekana. Polisi badala ya kuwajibika ametulia na ile radio ya miaka ile 177 or 277 akijiliwaza na midundo ya miziki ya kizazi kipya.
   
Loading...