RE: Michango ya Harambe! Viongozi wanapata wap hizo hela? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

RE: Michango ya Harambe! Viongozi wanapata wap hizo hela?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by anney, Dec 4, 2011.

 1. a

  anney Senior Member

  #1
  Dec 4, 2011
  Joined: Jul 9, 2010
  Messages: 156
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimekuwa nikufuatilia michango ya viongozi wa wetu wa kisiasa wakichangia harambe mbalimbali za kuchangia ujenzi wa kanisa, shule na miradi ya maendeleo.
  mfano wengi wamechangia mpaka milioni kumi na kuendelea. Je nini vyanzo vya mapato yao? je wanalipia kodi hayo mapato yao.
  Naomba mjadala kwa wenye ufahamu.
   
 2. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #2
  Dec 4, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mmoja wao anaepita pita huko mikoani chonzo cha michango yake ni mgawo wake baada ya kuuzwa mitambo ya Richmond / Dowans kwa Symbion.
   
Loading...