Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jam a I nimekutana na tangazo hili michuzi logs nikaona nilete huku maanawana weruweru wengini magreat thinkers na dunia inatambua Hilo. Kutakua na dinner gala dec 6, 2011 in honor of Mohamed...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwanza tuanze na mwenge wa uhuru. Huu mwenge ni wa uhuru gani? Tanzania ina mataifa mawili tu katika katiba ya nchi,yaani Zanzibar na Tanzania ambayo ni muungano.Je mwenge wa uhuru ni mwenge...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
By Kalundi Serumaga Posted Sunday, December 4 2011 at 16:47 Questions must be asked as to why Tanzania seeks to have a birthday party to which it is not quite yet entitled, through it...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mwenyenzi Mungu baba wa rehema uliyeumba vyote duniani,tuondolee unafiki na ubinafsi uliyoko ktk taifa letu.ili tuwe na amani ya kweli miaka 5o ya uhuru 0
0 Reactions
1 Replies
2K Views
NEWS EADB headquarters in Kampala, Uganda. Dar High Court decision to attach EADB property sets off diplomatic and legal crisis for EAC Picture: File By JAINDI KISERO) Posted Sunday, December 4...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
kwa jinsi mswaada mzima wa katiba ulivyo hivi sasa ni kwamba rais ndio anaratibu mjadala mzima wa katiba na mwisho atatuambia ni katiba gani ndio inatufaa kwa kutumia tume yake ya uchaguzi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau nimeuliza ivyo kwa sababu CDM walipoenda magogoni ilionekana inabidi wampe mda baba riz kisha waende tena ila kwa CUF naona km hoja zao zilikua nyepesi ndio maana walimalizana kwa siku moja...
0 Reactions
2 Replies
982 Views
A nation that is afraid to let people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people
0 Reactions
1 Replies
909 Views
JF kuna swali hajiuliza vijana wamekuwa ndio mtaji wa kisiasa kwa viongozi wengi katika majukwaaa...!lkn ukiaj kweney kipindi cha uchaguzi vijana huwa wanakuwa wana support sana watu wenye nia za...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nyote mtakumbuka wakati jk akifungua bunge la kwanza baada ya kutangazwa rais wabunge wote wa cdm wakiongozwa na chairman wao walitoka nje kwa kutomtambua jk kama mshindi halali wa upresida wa...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Wanaume tumebakia palepale ,ila wakina mama na madada na mabinti wamepiga hatua kubwa sana,si hasha baada ya miaka 50 mingine kutakuwa hakuna Mtanzania wa kike mweusi,hivi niandikapo tayari...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Haya kama una muda tena wahi ukumbini wahi ticket yako au kaa chonjo saa kumi na moja itakuwa LIVE star TV kwa maelezo zaidi nipigie .
2 Reactions
25 Replies
4K Views
habari za jumapili wakuu? naomba kwa mwenye updates au link ya uzi wowote uliopo hapa jamvini tayari kuhusu mdahalo wa muungano na tanzania tunayoitaka ambao uliotangazwa kurushwa leo moja kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kasema kuumwa kwake kumemuwezesha kujua aliishije na watu vilevile watu wanamchukuliaje. amefarijika jinsi watu walivyokuwa wakiulizia hali yake jinsi anavyo endelea na wengine kumtakia apone...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Naomba kujua maana halisi ya uhuru na je tanzania ni nchi huru?
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Ni takriban miezi miwili imepita tangu uchaguzi mdogo wa ubunge Igunga ufanyike na moja ya tukio kubwa ni lile la mtu kumwagiwa tindikali, je mtu huyo anaendeleaje,yuko wapi na kama kuna kesi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Viongozi wa CUF wakiwasili Ikulu leo UJUMBE watu saba wa Chama cha Wananchi CUF ukiongozwa na Makamu mwenyekiti wa chama hicho, Machano Khamis Ali, leo unakutana na Rais Jakaya Kikwete...
3 Reactions
214 Replies
22K Views
wadau tazameni star tv kuna makala nzuri inaonesha umasikini mkubwa wa watanzania ili tunapoitazama tanzania hasa waliyoko mjini wajue kuna nini huku vijijini
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Chama cha CUF kimeibuka kuwa mpinzani mkubwa wa CHADEMA hata katika mambo ambayo chenyewe kilikuwa kikiyaamini kilipokuwa chama kikuu cha upinzani. CUF hawajiulizi ni vipi CHADEMA imepata umaarufu...
2 Reactions
56 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…