A
Reaction score
0

Profile posts Latest activity Postings About

  • Je ni kweli kwamba utunzi wa mitihani ya std seven umelegezwa makali ili kuhakikisha shule za kata zinapata wateja? Na kama ndivyo ilivyo sisi walimu tutarajie watoto (wanafunzi) wa aina gani huku mashuleni?
    Haloo wanajamii forum mapambano yanahitaji watu hatuna bukushikana kwapamoja ili kutokomeza maradhi ujinga na umaskini kwan hawa ndi maadui wakubwa wa maendeleo na hasa huyu aitwae ujinga
    Ni mbinu gani zitatumika ili kuhakikisha kwamba wananchi hasa wa vijijini wanapata elimu ili wajitambue sababu wao wamekua ndio kikwazo cha mapinduzi ya kweli yenye shabaha ya kuleta mabadiliko ya kweli na uhuru wa kweli
  • Loading…
  • Loading…
  • Loading…
Top