Mdahalo kuhusu Muungano ....

under_score

Senior Member
Nov 2, 2011
190
45
habari za jumapili wakuu?

naomba kwa mwenye updates au link ya uzi wowote uliopo hapa jamvini tayari kuhusu mdahalo wa muungano na tanzania tunayoitaka ambao uliotangazwa kurushwa leo moja kwa moja kupitia kituo cha star tv kuanzia saa 11 jioni, maana huku kwetu ngereja na wadogo zake naona tayari washafanya mambo yao .....
 
Back
Top Bottom