Aliyemwagiwa tindikali Igunga yuko wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aliyemwagiwa tindikali Igunga yuko wapi?

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by EasyFit, Dec 4, 2011.

 1. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #1
  Dec 4, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,234
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  Ni takriban miezi miwili imepita tangu uchaguzi mdogo wa ubunge Igunga ufanyike na moja ya tukio kubwa ni lile la mtu kumwagiwa tindikali, je mtu huyo anaendeleaje,yuko wapi na kama kuna kesi imefikia wapi na je wahusika wameshajulikana? natanguliza shukrani.
   
 2. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #2
  Dec 4, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Yule ni afisa wa UVCCM, wenzake walimzunguka wakamtoa kafara ili kupata huruma kwa wana igunga. Nape atakuwa na habari zake kamili.
   
 3. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #3
  Dec 4, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,234
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  Lakini kwa nini wanafanya hivyo kuharibu future ya mtu kwa mambo ya kisiasa?
   
 4. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #4
  Dec 4, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,014
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Ngoja, atakapohitajika tena kisiasa utamuona wamemuibua
   
 5. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #5
  Dec 4, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  CCM hawajali hayo ya utu. Wenyewe wapo tayari kufanya lolote hata kama ni mtu afe 'KIBUDU' ilimradi washinde uchaguzi basi!
   
 6. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #6
  Dec 4, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,909
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  labda yuko appollo india anaendelea na matibabu.
   
 7. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #7
  Dec 4, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,935
  Likes Received: 351
  Trophy Points: 180
  Safari hii watammalizia kabisa vinginevyo watafute specimen nyingine.
   
 8. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #8
  Dec 4, 2011
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,530
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mimi bado namkumbuka yule ustaadhi aliyepata ujasiri wa kudai 'my wife' wake ameibwa na Dr. Slaa. Sijui yupo wapi huyu shehe...!!?
   
 9. vipik2

  vipik2 JF-Expert Member

  #9
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,170
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Hiyo Condom ya Mzee Makamba ilishatupwa shimoni zamaaaaani, ila hapo baadaye wanaweza waioshe na kuitumia tena kwenye kinyang'anyiro cha 2015
   
 10. Mr Suggestion

  Mr Suggestion JF-Expert Member

  #10
  Dec 4, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  Leo kupitia kipindi cha SITOSAHAU cha RFA nimesikia meseji yake ikisema hato sahau siku alipomwagiwa tindikali, kasema anaendelea vizuri, sikumbuki alituma meseji akiwa wapi.
   
 11. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #11
  Dec 4, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,358
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kwani alodai kuibiwa mke na Dr.Slaa hadi kila siku akawa anaonekana magazetini yuko wapi
  na kesi alofungua imeishia wapi?

  CHONDE CHONDE,SIASA NOMAAAAAAAA
   
 12. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #12
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,393
  Likes Received: 1,549
  Trophy Points: 280
  wamemnunulia zawadi ya bodaboda naona anakula mema ya CCM. Ameajiri kichana anampelekea visenti kila wiki
   
 13. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #13
  Dec 4, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,935
  Likes Received: 351
  Trophy Points: 180
  Fedha mwanaharam fikiria yule aliyemfumania Nchemba gesti na mke wake akahongwa mil.3 akanyamaza.
   
Loading...