Vijana na mvuto wa siasa,kwenye kura ni wanawake na wazee inakuwaje | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vijana na mvuto wa siasa,kwenye kura ni wanawake na wazee inakuwaje

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by raffiki, Dec 4, 2011.

 1. r

  raffiki Senior Member

  #1
  Dec 4, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JF kuna swali hajiuliza vijana wamekuwa ndio mtaji wa kisiasa kwa viongozi wengi katika majukwaaa...!lkn ukiaj kweney kipindi cha uchaguzi vijana huwa wanakuwa wana support sana watu wenye nia za kuwasaidia..tena kwa mbwembwe sana...majibu yakija mara nyingi wagombea wanaokuwa na suppor ya vijana kwa asilimia kubwa huwa wanashindwa..na sababu utasikia ohh..tatizo vijana hawajiandikishi na hawapigi kura...na kuongeza ooh wanawake na wazee ndio wanapiga kura support yao ndio ushindi. SASA SWALI KWANINI MTAJI WA KISIASA MAJUKWAANI UWE VIJANA NA SIO HAO WANAOPIGA KURA???THINK CRITICALLY
   
 2. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #2
  Dec 4, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwa mtazamo wangu uchaguzi wa mwaka jana vijana walijitokeza kwa wingi kwenye kupiga kura ila matokeo yaka tume ya magamba (tume ya uchaguzi) wakatangaza visivyo. Nadhani huu mchakato wa vijana kujitokeza utakuwa endelevu maana sasa walio wengi wanatambua wajibu wao na unyonyaji tunaofanyiwa na viongozi wetu, na utasabasha anguko kuu kwa hawa magamba walio waongo, mafisadi, wezi wa rasilimali zetu, wanaotumia polic kutuuwa raia, waliozungukwa na maovu na mabaya yote
   
 3. r

  raffiki Senior Member

  #3
  Dec 4, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Shine, BADO UTAAMBIWA VIJANA HAWAKUJIANDIKISHA NA HAWAKUPIGI KURA.....SASA NAJIULIZA KWANINI VIJANA WANAKUWA MTAJI WA KISIASA ANGALI KILA UCHAGUZI INASOMEKA WAO HAWAJIANDIKISHI NA KUPIGA KURA?AU KUNANIIII?
   
 4. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #4
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  ntarudi baadae
   
Loading...