Mnyika , Seif,na Francis Stolla kuunguruma LIVE joni hii Star TV | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnyika , Seif,na Francis Stolla kuunguruma LIVE joni hii Star TV

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lunyungu, Dec 4, 2011.

 1. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #1
  Dec 4, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Haya kama una muda tena wahi ukumbini wahi ticket yako au kaa chonjo saa kumi na moja itakuwa LIVE star TV kwa maelezo zaidi nipigie .
   
 2. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #2
  Dec 4, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  nikupigie kwa namba ipi sasa? na huo ukumbi unaotaka niwahi u wapi? details pls
   
 3. KING COBRA

  KING COBRA JF-Expert Member

  #3
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,783
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Bw Lunyungu weka simu yako tena hapa kama juzi mimi naogopa kuweka !!
   
 4. usininukuu

  usininukuu JF-Expert Member

  #4
  Dec 4, 2011
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante kwa taarifa kaka nitawahi Star Tv maana suala la ukumbini limeshakuwa gumu
   
 5. KING COBRA

  KING COBRA JF-Expert Member

  #5
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,783
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  simu ya Lunyungu ni 071599250 mpigie
  Eneo la mdahalo ni Benjamini Mkapa
   
 6. O

  OSCAR ELIA Member

  #6
  Dec 4, 2011
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Nini mada ya mdahalo huu?tafadhali tujuzi
   
 7. Godlisten Masawe

  Godlisten Masawe Verified User

  #7
  Dec 4, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 739
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  "Seif" do you mean makamu wa kwanza wa Rais wa ZNZ?
   
 8. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #8
  Dec 4, 2011
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hiyo ticket ni ya kununua au...?
   
 9. P

  PARAGEcTOBORWA Member

  #9
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tatizo hii midahalo yenu hamuifanyii kwa walengwa na wananchi wa kawaida mnakimbilia mijini2,, haya yamalizeni wenyewe
   
 10. cabhatica

  cabhatica JF-Expert Member

  #10
  Dec 4, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 1,074
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Taarifa mbado kukamilika, mada pls!
   
 11. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #11
  Dec 4, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Wanadhani Tanzania ni Dar,Arusha,Mwanza na miji kama hiyo tu.Wanasahau Tanzania ni pamoja na Godegode.Sukamahela,Idodyandole,Kalangase na vijiji kama hivyo.
   
 12. V

  Vonix JF-Expert Member

  #12
  Dec 4, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 1,988
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  si mmeona eeeeeeh!!!!!Mdahalo mwingine millenium tower, sijui kwetu chamazi itafika lini?????
   
 13. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #13
  Dec 4, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Dah,GODEg0dE,MZAganza,munimsagara,hayo maeneo pia yanaitaj mdahalo
  safi sana chatu
   
 14. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #14
  Dec 4, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,978
  Likes Received: 6,616
  Trophy Points: 280
  mdahalo utafanyikia dar es salaam, barabara ya azikiwe posta mpya kwenye jengo la BENJAMINI MKAPA. paradise hotel. itakuwa saa kumi na moja kamili hadi saa moja jioni hii ya leo. Mia
   
 15. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #15
  Dec 4, 2011
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,053
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  sure GT,TUNAHITAJI MIDAHALO IENDE MPAKA BUSHANGARO,KATOMA,SONGAMBELE,ILUGANZIRA,MBITIMBI NA KWINGINE!HAPO UTAKUWA NI WA WA TANZANIA!
   
 16. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #16
  Dec 4, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Ttahitaji update sisi watu wa Mugumu, umeme umekatika huku:spy:
   
 17. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #17
  Dec 4, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,978
  Likes Received: 6,616
  Trophy Points: 280
  serikali yao haitaki wafahamu kinacho endelea kuhusu katiba ndo maana hata sheria imeshasainiwa. kwa atakaye onekana anaongelea hayo mambo adhabu yake ni kufungwa miaka 3. mia
   
 18. Nyaluhusa87

  Nyaluhusa87 JF-Expert Member

  #18
  Dec 4, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 1,288
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  vp wadau?mdahalo umeanza?wenye access na umeme na walioko kwenye mdahalo m2juze!manake huku wengine wameshatoa umeme wao
   
 19. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #19
  Dec 4, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  umeme hakuna!
  Tumethubutu, tumeweza, tunasonga mbele
   
 20. L

  Lapton2005 Member

  #20
  Dec 4, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona umeme tnsco wamekata?
   
Loading...