Inamaana cdm hoja zao zilikua nzito kuliko za cuf wakati wa kwenda magogoni?

skendo

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
212
101
Wadau nimeuliza ivyo kwa sababu CDM walipoenda magogoni ilionekana inabidi wampe mda baba riz kisha waende tena ila kwa CUF naona km hoja zao zilikua nyepesi ndio maana walimalizana kwa siku moja tu au hii iko vp?
 
Hawa ni Magamba B, hivyo hawana hoja yoyote ya maana. Walitayarishiwa pilau la nguvu na walivyomaliza kujichana wakaondoka zao bila ya kutia neno.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom