Katiba: Rais amepora mamlaka ya wananchi ya kuamua kuhusu katiba wanayoitaka.

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,507
kwa jinsi mswaada mzima wa katiba ulivyo hivi sasa ni kwamba rais ndio anaratibu mjadala mzima wa katiba na mwisho
atatuambia ni katiba gani ndio inatufaa kwa kutumia tume yake ya uchaguzi aliyoitengeneza yeye mwenyewe lakini kinachotakiwa kufanyika ni kwa WATANZANIA KUMWAMBIA RAIS NINI CHA KUFANYA NA SIYO YEYE KUWAANDALIA UTARATIBU WA NINI WANANCHI WAKIFANYE. KWAHIYO USHAURI: WATANZANIA INABIDI TUFANYE SHIME KUAKIKISHA MAMLAKA YA WANANCHI INARUDISHWA NA HAKUNA NJIA NYINGINE YA KUAKIKISHA HILO ZAIDI YA KUDAI HAKI YETU KWA KUTUMIA MEANS ZOTE IKIWEMO MAANDAMANO YASIYO NA MWISHO.
 
kilichofanywa na chadema kwa maoni yangu ni kama kumbembeleza Rais akupe haki yako ambayo iko wazi tunachotakiwa kukifanya ni kuchukua haki yetu kwani haki aiombwi inachukuliwa kama mhusika anakataa basi unajuwa kuwa una deal na mtu ambaye si muungwana kwahiyo na wewe unatumia njia ambayo mtu asiye muungwana ataielewa ili uweze kupata haki yako.
 
Back
Top Bottom