Je umri Yama hii ya weruweru Girls?

nndondo

JF-Expert Member
Feb 1, 2010
1,251
895
Jam a I nimekutana na tangazo hili michuzi logs nikaona nilete huku maanawana weruweru wengini magreat thinkers na dunia inatambua Hilo.

Kutakua na dinner gala dec 6, 2011 in honor of Mohamed maarja trust ya mwana weruweru dadaMwanaidi Maarja balozi diamond jubilee kuanZia saa moja usiku mshinid wa tuZo ya mama wa uhuru wa TZ mama Kamm atqkuwepo Kama co chair wale wote waliosoma weruweru waende kumuunga mkono ticket ni 200,000/- kwameza ya watu 10,watu 30 watakaopigq simu mapema watapata ticket za bure ticket zinapatikana kwa wafuatao. Leticia Bakirane,Shimimana Ntuyabaliwe na Rosemary Mwakitwange au pita simu namba 0718607403 mods naomba usiitoe hii thread huyu mama Kamm kaifanyia makubwa nchi hii tumpe heshima yak
 
Ebwana eeh umeandika hii post wakati una haraka nini? kwani baadhi ya maneno yako hayaeleweki hata kidogo. Anyway nashukuru kwa taarifa Weruweru nilikuwapo wakati wa Mama Msuya lakini Mama Kamm tulipata kuyala na kuona matunda yake
 
Back
Top Bottom