Mwandosya avishukuru vyama vya upinzani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwandosya avishukuru vyama vya upinzani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by figganigga, Dec 3, 2011.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Dec 3, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  Kasema kuumwa kwake kumemuwezesha kujua aliishije na watu vilevile watu wanamchukuliaje. amefarijika jinsi watu walivyokuwa wakiulizia hali yake jinsi anavyo endelea na wengine kumtakia apone halaka. kawashukuru wote waliomtakia heri. amesema ugonjwa wake utabaki kuwa siri yake na doctor wake. Mia
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Dec 3, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Yap wengi tunampenda mwandosya na tunamtakia maisha mema na marefu ila mkuu mbona kichwa cha habari na habari yenyewe havioani??
   
 3. m

  mr analysis Member

  #3
  Dec 3, 2011
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  pole sana mzee wetu mwandosya i hope utaimarka zaid kiafya.
   
 4. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #4
  Dec 3, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  mkuu mbona kichwa cha habari na habar yenyewe haviendan???

  Ngoja niludie tena kusoma .
   
 5. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #5
  Dec 3, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Pole sana prof!
   
 6. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #6
  Dec 3, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Jaribu kuleta Hoja zenye mshiko, kicha cha habari na habari ni tofauti kabsaaa. 200! sio 100!
   
 7. Xuma

  Xuma JF-Expert Member

  #7
  Dec 3, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 631
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Kilichobaki mzee Mwandosya Jivue Gamba tu!!
   
 8. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #8
  Dec 3, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ndiyo matatizo ya kupost thread ukiwa Internet cafe. No link between kichwa cha habari na habari yenyewe!
   
 9. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #9
  Dec 3, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,519
  Likes Received: 1,689
  Trophy Points: 280
  Pole sana rais wetu
   
 10. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #10
  Dec 3, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Tumbiri a.k.a ngedere ulikuja na mkwara mzito juu ya akina mwita25,faizafoxy,malaria sugu,topical..ulipotelea wapi au ban ilikuhusu tena?
   
 11. S

  STIDE JF-Expert Member

  #11
  Dec 3, 2011
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Teh teh teh teeeeh!! Umenikumbusha mkuu, jamaa alikuja kwa mkwara mnene halafu kapiga kimyaaa!! Nadhani nae aliongwa suti!!!
   
 12. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #12
  Dec 3, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kweli mkuu.
   
 13. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #13
  Dec 3, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Prof mwandosywa naye anakuwa kama siyo msomi. Au ndio uzee huo.
  Yaani hajui kuugua ni sawa na kufa au nusu kifo . Hata adui yako atakusifia au kukupa pole na kuta rambi rambi.

  Kama kweli hayo maneno Prof mzima anafanya tatahmini ya maisha yake na jamii kwa kutumia ugonjwa basi. basi kazi ipo. Au hajui kuwa sio wote "tuliokuwa" tunaulizia afya yake "tuliuzia" tukitaka kupata feedback nzuri.........

  Huuu ni mtazamo wangu jamani na namtakia afya njema
   
 14. R CHUGGA

  R CHUGGA Senior Member

  #14
  Dec 3, 2011
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Naendelea kukuombea kwa Mungu azidi kukupa afya njema na uendelee kutumikia Taifa letu
   
 15. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #15
  Dec 3, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  Anapaswa amshukuru mungu pekee.
   
 16. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #16
  Dec 4, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  nimeamini kweli wewe ni TUMBILI. Yaani haujui habari mwendelezo? Heading inajitosheleza. Kashukuru watu wote walio muombea heri wakiwemo watu walio kwenye vyama vya upinzani. au haujui kama vyama vya upinzani vina watu?. Magamba wagumu wa kuelewa. nmeshakutafunia hata kumeza unashindwa? pole sana. Mia
   
 17. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #17
  Dec 4, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  kweli nini? unashindwa hata kutambua kama thread nimepost kwa simu au pc halafu bado unajiita great thinker? tuache kidogo bana. Mia
   
 18. Losomich

  Losomich JF-Expert Member

  #18
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tatizo la viongozi wa kiafrika ni kuifanya kila kitu kuwa siri. Huyu mpendwa wetu Mwondosya anapotuambia kwamba chanzo cha ugonjwa itabakia ni siri yake na Dr. Wake, anamaanisha kwamba hata mke hajamwambia chanzo cha ugonjwa uliotaka kumua. Mbona wenzetu weupe mambo yao wanayaweka nje nje na hicho kitu hakiwaadhiri kwa jambo lolote. Dunia ya leo imestaarabika sana, tuache upirimitive.
   
 19. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #19
  Dec 4, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,914
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  Kama kweli amesema kuwa ugonjwa ni siri yake na Dakta wake basi mimi namwita mbinafsi. Wakati mwingine watu wanakuwa interested kufahamu unaumwa nini ili nao waweze kujua ni jinsi gani wachukue tahadhari ili wasiumwe kama wewe. Nadhani kama ugonjwa ni siri yake basi hata huko kuumwa kwake kulitakiwa kuwe siri, unless kama ana Ukimwi (unaochukuliwa kuwa ni ugonjwa wa siri)..!
   
 20. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #20
  Dec 4, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  kamwe hakuna siri ya wa2 wawili
   
Loading...