wadau angalie star tv sasa hivi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wadau angalie star tv sasa hivi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kimboka one, Dec 4, 2011.

 1. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #1
  Dec 4, 2011
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  wadau tazameni star tv kuna makala nzuri inaonesha umasikini mkubwa wa watanzania ili tunapoitazama tanzania hasa waliyoko mjini wajue kuna nini huku vijijini
   
 2. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #2
  Dec 4, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Mkuu wengine tulipo, Star TV haikamati...
   
 3. cabhatica

  cabhatica JF-Expert Member

  #3
  Dec 4, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 1,074
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Star Tv siku hizi chenga tupu. Mambo ya Startimes bana...
   
 4. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #4
  Dec 4, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,613
  Trophy Points: 280
  hiki kipindi kinawaumbua ccm. hii cd naomba copy wampe kikwete halafu asimame jukwaani aseme maisha bora kwa kila mtanzania. Hivi ndo vipindi vinavyopaswa kuonyeshwa kwenye tv zetu. hii ni kashifa kwa ccm zaidi ya ile movie ya mapanki. watanzania Mungu atusaidie. walimu wanatembea kilometa 7 kutoka nyumbani kwenda shuleni kila siku. njia yenyewe kama njia za nguchilo. acheni walimu wagome. Mia
   
 5. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #5
  Dec 4, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,613
  Trophy Points: 280
  Mkuu kipindi kinaanza saa ngapi na kinaonyeshwa lini na lini? nmekipenda sana. Mia
   
 6. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #6
  Dec 4, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,613
  Trophy Points: 280
  kumtahili mtoto bila ganzi akalia ni aibu kwa mama na baba ake kuna mmasai kasema hivyo na kuongeza neno la Mungu ndo litabadilika lakini sio Mila. Mia
   
 7. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #7
  Dec 4, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hapo ndipo tulipofikia.Wenye nchi wanaishi maisha kama wanyama wakati wachache waliopewa dhamana ya kuwaongoza wanajali mitumbo yao.Kazi kuchekacheka na kuzomea wenzao kama malaya vile.Wakilala usiku wanaota posho tu.
   
 8. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #8
  Dec 4, 2011
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  sasa watanzania nikiwambia tuache ushabiki wa vyama hamnielewi ona wenzetu wanavyoteseka sisi tunashabikia mabilinea wabunge wetu ambao kila kukicha wanatafuta njia ya kuongeza mishahara yao wakati wengine hawajui ata kidonge cha panado ni nini?
   
 9. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #9
  Dec 4, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Hapa lazima JK abadili channel! Ila yeye alisema anapenda kuangalia African Magic
   
Loading...