Hapa JK kacheza kama Messi

Tip Master

JF-Expert Member
Oct 17, 2011
490
532
Nyote mtakumbuka wakati jk akifungua bunge la kwanza baada ya kutangazwa rais wabunge wote wa cdm wakiongozwa na chairman wao walitoka nje kwa kutomtambua jk kama mshindi halali wa upresida wa tz.kitendo hicho kimsononesha sana jk japo alioneka akitabasamu.basi baada ya hapo wabunge wa ccm wakajipanga ili kuwashinikiza wabunge wa cdm wamkubali jk kama presida halali wa tz,na kweli shinikizo likafanya kazi japo si kwa asilimia mia kwakua bado wabunge waliendea kukataa miswada yote ya gvt ya jk ndani ya bunge na nje ya bunge walionekana viongozi wa cdm wakipromte maandamano kila kukicha na kitendo hicho kilikua ninamuumiza jk kichwa kila kukicha na akawa anabuni kila njia ya kuwafanya hawa wana cdm wamsujudie lakini wapi,mara kama bahati ya mtende jamaa si wakaandika barua ikulu kuomba ikulu iwaruhusu kumuona jk!jk nae baada ya kusikia pasina na kusita akawaambia mastaff wa ikulu wafanye fasta kuwakubalia ombi lao.mda mfupi baadhi ya wana nec kule dom wakapendekeza jk asikutane na ujumbe wa cdm pekee bali akutane na vyama vyote.lakini jk akakataa maana jk kichwani ilikua si mjadala wa katiba kama wana nec walivyodhan,yeye lengo lake lilikua ni kupokea salute kutoka cdm tu,mda ukawadia viongozi wa cdm wakakaribishwa na wasira pale sebuleni ikulu na jk pasipo ajizi akawakalisha pale kama lisaa hivi pasina kutokea,viongozi wa cdm wakaonekana wakikodolea masho masanamu ya pale ikulu.baadae akasikika afisa wa mjengo akiwaambia mda wa presida kuingia umewadia na wanatakiwa kusimama huku wakiwa wameinamisha vichwa chini ili kutoa heshima kwa mkuu wa nchi,na cdm wakiongozwa na kiongozi wao aliyewaongoza kutoka nje ya bunge lakini safari hii akiwaongoza kutoa salute kwa presida wakasimama kwa kutia huruma kabisa vichwa chini.na mara jk akawaambia mwaweza kaa,na wote kwa pamoja wakasema asante mkuu wakakaa.mda mfupi wa baada ya salamu wakakabidhi mawazo yao kwake.japokua jk alikua na mda wa kutosha kumaliza yale maongezi lkn aliona kiu yake haiwezi kuisha kwa siku moja hivyo akawaamuru warudi keshoyake.na baada ya keshoyake kutii amri ya mkuu wakapigwa pande kwa minista wa wizara usika na kesho yake jk akiwa na roho nyeupe kabisa akasaini mswada waliokua wanashinikiza asisaini.hakika JK kwa hili umetisha. UKIRUSHA JIWE KIZANI UKISIKIA MGUNO UJUE LIMEMPATA
 
Lakini akaishia kufunga kwenye goli lake mwenyewe tena baada ya kupigisha chenga nyingi mno huku akishangiliwa na kikundi kimoja ndani ya CCM.
 
UGENI WA 'KRIMU YA UONGOZI THABITI WA CHADEMA' IKULU MAJUZI SASA WAFICHUALIA SIRI VIKUNDI HASIMU MBIO ZA URAIS CCM JUU YA RAIS KIKWETE NA MRITHI WAKE NDANI YA 'KITCHEN CABINET' YAKE BINAFSI MAGOGONI
A%20S%20465.gif

Ikulu yajitia kitanzini zaidi, ndani na nje ya CCM, kwa ukaidi Rais Kikwete kusaini muswada tata nchini kuwa sheria kwa kuegemea maamuzi binafsi ya BENARD KAMILIUS MEMBE ambaye pia ni kiongozi wa mojawapo vikundi hasimu CCM kwenye kinyang'anyiro cha kumezea mate Ikulu anayeonekana kunyanyuliwa zaidi na familia tatu za Pwani na Visiwani.

Licha ya kile kisichozuilika toka kwa upaande wa CHADEMA, Nguvu ya Umma wa Tanzania na asasi nyingi zisizo za kiserikali KUVURUMUSHA MVUA YA MAWE hivi karibuni kwa kudai nafasi zao stahiki katika mchkato mzima kuundwa kwa katiba mpyaa nchini, vita vya vikundi ndani ya CCM ambavyo tayari vinasoma lama za unafiki naa kujihisi kusalitiwa na mwenyekiti wao Ndg Jakaya Mrisho Kikwete sasa kupanda nyuzijoto za hali ya hewa zaidi ya ile Jangwani.

Kuna hatari zaidi ndani ya CCM kwamba Mapinduzi ya Ki-Chama aliyoyaahirisha Mzee Mkapa yakarudi kwa nguvu mithili ya mlipuko wa bomu la nyuklia kule Hiroshima Japan na kusababisha sura mpya ya milima na mabonde kubwa zaidi ndani ya Chama hicho kama ambavyo haikuwahi kufahamika katika historia ya uhai wake wote.

Kule kutiliwa kwa sahihi kwa mapendekezo ya kundi pekee la Membe amblo ndilo lililopata nafasi hiyo kwenda meza kuu ya maamuzi kwenye 'Kitchen Cabinet' ya Rais Kikwete, na pengine sura zingine chache za wale wanaompigia chapuo mjumbe mwingine dhaifu lakini anayeonekana kama kiraka au mchezaji wa dharura (Asha-Rose Migiro) kama mbavyo familia hizo tatu za Pwani na Visiwani vinavyojiaminisha.

Hadi hivi sasa, kuna hatari kubwa ya NDOA TATA ZISIZOTARAJIWA kufungwa ndani na au nje ya CCM kukabili huu mradi wa siri wa serikali ya Kikwete - Project Kamelius Membe / Asha-Rose Migiro endapo 'mwanetu' hatokubalika.

Wakati nikiwaahidi kuja na uchambuzi wa kina zaidi juu ya hili kosa LILILOLENGWA KULIKOMOA CHADEMA NA WANANCHI KWA UJUMLA wetu na kuishia kumuumbua mkuu wa kaya kwa kufichua siri yake ya moyoni, vile vile itakumbukwa kwamba Waziri Membe wala si Waziri wa Mambo ya Sheria na Katiba kupewa nafasi kubwa kiasi hicho kwenye meza haramu ya maamuzi Magogoni ambayo hivi sasa yaonekana watu kuikimbia kutokujitambulisha nayo kwa kwa sababu za uwekezaji wa kisiasa baada ya kiongozi huyo kwenda nyumbani.

Ndio, Membe wala si mhusika wa mambo ya Ndani, ofisi ya mwanasheria mkuu, Msajili wa vyama wala kuwa mwakilishi rasmi wa ofisi ya bunge. Achilia mbali kwanza moto mkubwa wa udhalilishaji naa usaliti wa Benchi la Kikwete kwa mazungumzo kati yake na viongozi wa CHADEMA Taifa, waunda mikakati ndani ya vikundi hasimu mbalimbali ndali ya CCM; HABARI NDIO hiyo huku nikiendelea kuwaahidi vya uvunguni zaidi baadaye kidogo.
 
Nyote mtakumbuka wakati jk akifungua bunge la kwanza baada ya kutangazwa rais wabunge wote wa cdm wakiongozwa na chairman wao walitoka nje kwa kutomtambua jk kama mshindi halali wa upresida wa tz.kitendo hicho kimsononesha sana jk japo alioneka akitabasamu.basi baada ya hapo wabunge wa ccm wakajipanga ili kuwashinikiza wabunge wa cdm wamkubali jk kama presida halali wa tz,na kweli shinikizo likafanya kazi japo si kwa asilimia mia kwakua bado wabunge waliendea kukataa miswada yote ya gvt ya jk ndani ya bunge na nje ya bunge walionekana viongozi wa cdm wakipromte maandamano kila kukicha na kitendo hicho kilikua ninamuumiza jk kichwa kila kukicha na akawa anabuni kila njia ya kuwafanya hawa wana cdm wamsujudie lakini wapi,mara kama bahati ya mtende jamaa si wakaandika barua ikulu kuomba ikulu iwaruhusu kumuona jk!jk nae baada ya kusikia pasina na kusita akawaambia mastaff wa ikulu wafanye fasta kuwakubalia ombi lao.mda mfupi baadhi ya wana nec kule dom wakapendekeza jk asikutane na ujumbe wa cdm pekee bali akutane na vyama vyote.lakini jk akakataa maana jk kichwani ilikua si mjadala wa katiba kama wana nec walivyodhan,yeye lengo lake lilikua ni kupokea salute kutoka cdm tu,mda ukawadia viongozi wa cdm wakakaribishwa na wasira pale sebuleni ikulu na jk pasipo ajizi akawakalisha pale kama lisaa hivi pasina kutokea,viongozi wa cdm wakaonekana wakikodolea masho masanamu ya pale ikulu.baadae akasikika afisa wa mjengo akiwaambia mda wa presida kuingia umewadia na wanatakiwa kusimama huku wakiwa wameinamisha vichwa chini ili kutoa heshima kwa mkuu wa nchi,na cdm wakiongozwa na kiongozi wao aliyewaongoza kutoka nje ya bunge lakini safari hii akiwaongoza kutoa salute kwa presida wakasimama kwa kutia huruma kabisa vichwa chini.na mara jk akawaambia mwaweza kaa,na wote kwa pamoja wakasema asante mkuu wakakaa.mda mfupi wa baada ya salamu wakakabidhi mawazo yao kwake.japokua jk alikua na mda wa kutosha kumaliza yale maongezi lkn aliona kiu yake haiwezi kuisha kwa siku moja hivyo akawaamuru warudi keshoyake.na baada ya keshoyake kutii amri ya mkuu wakapigwa pande kwa minista wa wizara usika na kesho yake jk akiwa na roho nyeupe kabisa akasaini mswada waliokua wanashinikiza asisaini.hakika JK kwa hili umetisha. UKIRUSHA JIWE KIZANI UKISIKIA MGUNO UJUE LIMEMPATA
Mkuu, umeamua kuandika mwenyewe hii thread ktk hii forum au umeambiwa na mtu uiandike? Kwa kweli nashindwa kuamini kwamba nawe ni great thinker.
 
Ukitupa jiwe kizani,alafu ukasikia mwano shangilia maana nawewe utakua mojawapo ya wenye shabaha
 
CDM hawadanganyiki kwa juisi bana....prezidaa kakubali yale waliomfikishia ndio maana pande zote zimekubaliana na yale yalifikiwa katika mkutano huo..
 
Nyote mtakumbuka wakati jk akifungua bunge la kwanza baada ya kutangazwa rais wabunge wote wa cdm wakiongozwa na chairman wao walitoka nje kwa kutomtambua jk kama mshindi halali wa upresida wa tz.kitendo hicho kimsononesha sana jk japo alioneka akitabasamu.basi baada ya hapo wabunge wa ccm wakajipanga ili kuwashinikiza wabunge wa cdm wamkubali jk kama presida halali wa tz,na kweli shinikizo likafanya kazi japo si kwa asilimia mia kwakua bado wabunge waliendea kukataa miswada yote ya gvt ya jk ndani ya bunge na nje ya bunge walionekana viongozi wa cdm wakipromte maandamano kila kukicha na kitendo hicho kilikua ninamuumiza jk kichwa kila kukicha na akawa anabuni kila njia ya kuwafanya hawa wana cdm wamsujudie lakini wapi,mara kama bahati ya mtende jamaa si wakaandika barua ikulu kuomba ikulu iwaruhusu kumuona jk!jk nae baada ya kusikia pasina na kusita akawaambia mastaff wa ikulu wafanye fasta kuwakubalia ombi lao.mda mfupi baadhi ya wana nec kule dom wakapendekeza jk asikutane na ujumbe wa cdm pekee bali akutane na vyama vyote.lakini jk akakataa maana jk kichwani ilikua si mjadala wa katiba kama wana nec walivyodhan,yeye lengo lake lilikua ni kupokea salute kutoka cdm tu,mda ukawadia viongozi wa cdm wakakaribishwa na wasira pale sebuleni ikulu na jk pasipo ajizi akawakalisha pale kama lisaa hivi pasina kutokea,viongozi wa cdm wakaonekana wakikodolea masho masanamu ya pale ikulu.baadae akasikika afisa wa mjengo akiwaambia mda wa presida kuingia umewadia na wanatakiwa kusimama huku wakiwa wameinamisha vichwa chini ili kutoa heshima kwa mkuu wa nchi,na cdm wakiongozwa na kiongozi wao aliyewaongoza kutoka nje ya bunge lakini safari hii akiwaongoza kutoa salute kwa presida wakasimama kwa kutia huruma kabisa vichwa chini.na mara jk akawaambia mwaweza kaa,na wote kwa pamoja wakasema asante mkuu wakakaa.mda mfupi wa baada ya salamu wakakabidhi mawazo yao kwake.japokua jk alikua na mda wa kutosha kumaliza yale maongezi lkn aliona kiu yake haiwezi kuisha kwa siku moja hivyo akawaamuru warudi keshoyake.na baada ya keshoyake kutii amri ya mkuu wakapigwa pande kwa minista wa wizara usika na kesho yake jk akiwa na roho nyeupe kabisa akasaini mswada waliokua wanashinikiza asisaini.hakika JK kwa hili umetisha. UKIRUSHA JIWE KIZANI UKISIKIA MGUNO UJUE LIMEMPATA

Hivi umeenda chooni leo?maana nadhani huo mzigo uliokuwa nao mpaka usiku huu ndio umeleta athari mpaka kichwani!!great thinker huwezi kuandika thread kama hii, kwani umeambiwa kuna mipasho hapa!!nenda wakaku-cameroon wenzio au ndio mchezo wako umezoea????
 
wewe ni mjumbe wa nyumba kumi au katibu wa ccm wa wilaya??
Jifunze kuandika basi!!!
Nyote mtakumbuka wakati jk akifungua bunge la kwanza baada ya kutangazwa rais wabunge wote wa cdm wakiongozwa na chairman wao walitoka nje kwa kutomtambua jk kama mshindi halali wa upresida wa tz.kitendo hicho kimsononesha sana jk japo alioneka akitabasamu.basi baada ya hapo wabunge wa ccm wakajipanga ili kuwashinikiza wabunge wa cdm wamkubali jk kama presida halali wa tz,na kweli shinikizo likafanya kazi japo si kwa asilimia mia kwakua bado wabunge waliendea kukataa miswada yote ya gvt ya jk ndani ya bunge na nje ya bunge walionekana viongozi wa cdm wakipromte maandamano kila kukicha na kitendo hicho kilikua ninamuumiza jk kichwa kila kukicha na akawa anabuni kila njia ya kuwafanya hawa wana cdm wamsujudie lakini wapi,mara kama bahati ya mtende jamaa si wakaandika barua ikulu kuomba ikulu iwaruhusu kumuona jk!jk nae baada ya kusikia pasina na kusita akawaambia mastaff wa ikulu wafanye fasta kuwakubalia ombi lao.mda mfupi baadhi ya wana nec kule dom wakapendekeza jk asikutane na ujumbe wa cdm pekee bali akutane na vyama vyote.lakini jk akakataa maana jk kichwani ilikua si mjadala wa katiba kama wana nec walivyodhan,yeye lengo lake lilikua ni kupokea salute kutoka cdm tu,mda ukawadia viongozi wa cdm wakakaribishwa na wasira pale sebuleni ikulu na jk pasipo ajizi akawakalisha pale kama lisaa hivi pasina kutokea,viongozi wa cdm wakaonekana wakikodolea masho masanamu ya pale ikulu.baadae akasikika afisa wa mjengo akiwaambia mda wa presida kuingia umewadia na wanatakiwa kusimama huku wakiwa wameinamisha vichwa chini ili kutoa heshima kwa mkuu wa nchi,na cdm wakiongozwa na kiongozi wao aliyewaongoza kutoka nje ya bunge lakini safari hii akiwaongoza kutoa salute kwa presida wakasimama kwa kutia huruma kabisa vichwa chini.na mara jk akawaambia mwaweza kaa,na wote kwa pamoja wakasema asante mkuu wakakaa.mda mfupi wa baada ya salamu wakakabidhi mawazo yao kwake.japokua jk alikua na mda wa kutosha kumaliza yale maongezi lkn aliona kiu yake haiwezi kuisha kwa siku moja hivyo akawaamuru warudi keshoyake.na baada ya keshoyake kutii amri ya mkuu wakapigwa pande kwa minista wa wizara usika na kesho yake jk akiwa na roho nyeupe kabisa akasaini mswada waliokua wanashinikiza asisaini.hakika JK kwa hili umetisha. UKIRUSHA JIWE KIZANI UKISIKIA MGUNO UJUE LIMEMPATA
 
Dony,

Kumbe tumetofautiana uwezo wa kufikiri na kutoa maoni, ila una uhuru wa kusema chochote iwapo hauvuki mipaka na sheria za nchi, ila hoja yako na mada yako havina mshiko hata kidogo, una maana Mkuu wa kaya alitaka tu Wana Chadema wamsujudie, au kulipa kisasi ??? Sasa hapa atakuwa anawakomoa Wananchi wa Tanzania au Wana Chadema ??? Ukumbuke huu mswada wa Katiba haupingwi na Chadema pekee, unapingwa na Baadhi ya Wana CCM, Upinzani, Wanaharakati mbalimbali na wasomi maana una mapungufu, Hoja ya maana wanapenda ufanyiwe marekebisho na masahihisho kabla ya kusainiwa na kuwa Sheria. Siasa ni Mchezo mbaya sipo Chama Chochote ila Jamani tuweke Utaifa Mbele, tuweke mahitaji na tija kwa Taifa letu. Makosa tunayoyafurahia leo, yatakuja kutu-cost mbele ya safari.

Nyote mtakumbuka wakati jk akifungua bunge la kwanza baada ya kutangazwa rais wabunge wote wa cdm wakiongozwa na chairman wao walitoka nje kwa kutomtambua jk kama mshindi halali wa upresida wa tz.kitendo hicho kimsononesha sana jk japo alioneka akitabasamu.basi baada ya hapo wabunge wa ccm wakajipanga ili kuwashinikiza wabunge wa cdm wamkubali jk kama presida halali wa tz,na kweli shinikizo likafanya kazi japo si kwa asilimia mia kwakua bado wabunge waliendea kukataa miswada yote ya gvt ya jk ndani ya bunge na nje ya bunge walionekana viongozi wa cdm wakipromte maandamano kila kukicha na kitendo hicho kilikua ninamuumiza jk kichwa kila kukicha na akawa anabuni kila njia ya kuwafanya hawa wana cdm wamsujudie lakini wapi,mara kama bahati ya mtende jamaa si wakaandika barua ikulu kuomba ikulu iwaruhusu kumuona jk!jk nae baada ya kusikia pasina na kusita akawaambia mastaff wa ikulu wafanye fasta kuwakubalia ombi lao.mda mfupi baadhi ya wana nec kule dom wakapendekeza jk asikutane na ujumbe wa cdm pekee bali akutane na vyama vyote.lakini jk akakataa maana jk kichwani ilikua si mjadala wa katiba kama wana nec walivyodhan,yeye lengo lake lilikua ni kupokea salute kutoka cdm tu,mda ukawadia viongozi wa cdm wakakaribishwa na wasira pale sebuleni ikulu na jk pasipo ajizi akawakalisha pale kama lisaa hivi pasina kutokea,viongozi wa cdm wakaonekana wakikodolea masho masanamu ya pale ikulu.baadae akasikika afisa wa mjengo akiwaambia mda wa presida kuingia umewadia na wanatakiwa kusimama huku wakiwa wameinamisha vichwa chini ili kutoa heshima kwa mkuu wa nchi,na cdm wakiongozwa na kiongozi wao aliyewaongoza kutoka nje ya bunge lakini safari hii akiwaongoza kutoa salute kwa presida wakasimama kwa kutia huruma kabisa vichwa chini.na mara jk akawaambia mwaweza kaa,na wote kwa pamoja wakasema asante mkuu wakakaa.mda mfupi wa baada ya salamu wakakabidhi mawazo yao kwake.japokua jk alikua na mda wa kutosha kumaliza yale maongezi lkn aliona kiu yake haiwezi kuisha kwa siku moja hivyo akawaamuru warudi keshoyake.na baada ya keshoyake kutii amri ya mkuu wakapigwa pande kwa minista wa wizara usika na kesho yake jk akiwa na roho nyeupe kabisa akasaini mswada waliokua wanashinikiza asisaini.hakika JK kwa hili umetisha. UKIRUSHA JIWE KIZANI UKISIKIA MGUNO UJUE LIMEMPATA
 
Kiendo cha cdm kwenda ikulu sijakipenda hata kidogo kwa kweli,sina chama chochote ila sera za chadema huwa naziona za msingi kwangu lakini katika kuboresha hili la ikulu sijawa pamoja nao
 
Pumbafu, kama hii ni kweli. Watu wanakufa njaa yeye a play politics. Madaraka haya makubwa ya rais ndiyo yaliyoiangamiza TZ (ambayo siku hizi inaitwa Fisi Land)
 
Katiba ndugu zangu sio jembe kusema hata ingeandikwa katika mfumo mnaotaka nyinyi wa kukopi kila pendekezo lenu na kupesti,mwisho wa siku bado mtajikuta mko palepale vijiweni.ndugu zangu hata mimi najua kua katiba inaitaji baadhi ya marekebisho kama vile kwenye muungano,mfumo wa umilikaji ardhi,mfumo wa ajira etc lakini hilo la katiba lisitufanye tupunguze mda wa kufanya kazi na kukalia porojo za katiba.NINACHOAMINI MIMI HAKUNA KATIBA KATIKA NCHI YOYOTE DUNIANI AMBAYO ITAMLINDA ASIYE KUA NA KITU CHA KULINDA,yah hana mali,haki,elimu nk.nyinyi mnaokaa kijiweni mkidhani katiba ikija ndo itamfilisi kila tajiri aliyepo tz na kuwagawia nyinyi maskin sahau kwakua hata babu zenu walikua na mawazo kama yenu kipindi cha utaifishaji lakin hawakupata kitu.KUNA NADHARIA INASEMA KUA HATA UMASKINI WA MTU SIO MAZINGIRA BALI NI MAWAZO YAKE.yahani hata leo hii mr presida akiamuru mali zote za matajiri wa tz sikusanywe na kila mtz apewe kiwango sawa bila kubagua rangi wala elimu amini nakuambia baada ya mda mchache mengi atabaki kua mengi,bakhresa atakua bakhresa,wewe wa kijiweni vilevile utajikuta kijiweni na matonya atabaki kuwa matonya kama alivyo leo.FANYA KAZI ILI KATIBA IJE ILINDE JASHO LAKO.
 
Mkulu

Hizo ni dalili ya mtu aliyeshiba akavimbiwa

....kejeli..dharau...majivuno...

Ndugu yangu usisahau ... HISTORIA INATABIA YA KUJIRUDIA...
 
Kuna watu wakikaa ofisi za umma au za watu wengine wanageuza kama ndo nyumbani kwao, lol. Kumbe muda ukifika wanatoka na kuachia waru wengine.
 
Kama ilikua ni revange dhidi ya CHADEMA, then jamaa kacheza.
Lakini katika national interests, Jk kachemka mbaya.
Na ita tu cost sote pamoja na yeye.
 
Hivi ni lini Chadema walisema hawamtambui JK kama rais wa Tanzania?Akili za kuambiwa changanya na za kwako, siyo unakurupuka tu.
 
Back
Top Bottom