Nimesoma kwenye mtandao wa tanuru la fikra. David Kafulila anasema mh Machali anafanya kazi ya kuhamisha mjadala kutoka hoja ya wajumbe kukosa imani na Mbatia kama mpinzani.
Katika maelezo yake...
Sasa unakaribia mwezi baada ya tume ya bunge kutoa taarifa kuhusu sakata la Jairo na wenzake kukusanya pesa kinyume cha sheria(Ufisadi)Ushahidi uliaanishwa wazi na mapendekezo ya hatua ya...
Utata wa Tanganyika na Tanzania.
Edson Kamukara
SINA muda wa kupoteza leo isipokuwa naomba tujivue unafiki na kisha kila mmoja wetu ajihoji Desemba 9, mwaka huu, tunasherehekea Uhuru wa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utawala Bora), Mathias Chikawe amewajia juu wabunge wa Uingereza kwa kuwataka waeleze idadi yawahusika wa kashfa hiyo walioko nchini mwao waliokwisha kufikishwa...
Ni vyama vikuu vya siasa za Tanzania bara. Kutokana na mikiki mikiki ya kisiasa, CDM wakijaribu kufanya kila wawezalo ili kuchukua dola 2015 ilhali CCM wakifanya kila njia kuizuia CDM kufikia...
Nyaraka hiyo imetolewa kwa vyombo vya habari leo na Naibu Katibu mkuu(bara) wa CUF MH.Juliasi Mtatiro alipokuwaakiongea na waandishi wa habari Makao makuu ya CUF.
Ni jambo unaloweza kulitizama kwa mashaka na wepesi. Lakini kutokana na upepo wa kisiasa ulivyo hili si jambo la kushangaza kwani linaweza kutokea. Harakati za CDM zinaweza kufikia hatua ya...
Mzimu wa EPA waendelea kuitesa BOT
Send to a friend
Monday, 05 December 2011 21:07
0diggsdigg
Gavana wa BoT, Profesa Benno Ndulu
Ramadhan Semtawa
BENKI Kuu Tanzania (BoT) imesema...
Nimeshangaa kumsikia bwana Sitta akisema eti yeye hajisafishi kupitia kanisani kama wengine huku akisema eti"Wanchi mnatujua vizuri sana,wachafu mnawajua na wasafi mnatujua"Hivi msafi anajitangaza...
Ifuatayo ni orodha ya magazeti ya Tanzania ambayo wamiliki wake au wahariri wake au wote wamiliki na wahariri wamekuwa wakitumika kumsafisha Edward Lowassa katika mradi wake wa kutaka kwenda Ikulu...
05 DECEMBER 2011
*Wampongeza kusaini muswada mabadiliko ya katiba
*Wasema uamuzi huo umezingatia kilio cha Watanzania
*Sasa waahidi kumuunga mkono hatua zote za utekelezaji
Na Peter Mwenda...
moja ya mambo ambayo yananisikitisha sana juu ya uwajibikaji w aserikari yetu kw a wana nchi ni tatizo la uaptikanaji wa takwimu muhimu zaq kiuchumi ahpa nchini na hasa takwimu za ajira, jambo...
kweli watanzania tumekua wavumilivu sasa ishu ya Epa BOT inaogopa
kuweka fedha kwenye ile acc kwamba watazichota tena hii ni kali
Mzimu wa EPA waendelea kuitesa BOT
Send to a friend...
Inasemekana kuwa nguvu ya umma imekuwa ikivinyima usingizi vyama vya siasa nchini: 1).CCem imekuja na sera ya kujivua gamba ili irejeshe imani kwa wananchi 2).Nccra imekuja na dhana ya kumng'oa...
Watanzania wenzangu ni wakali na kuambiana ukweli wa roho. Wazee wengi wa Tanzania na ndugu na jamaa mbalimbali wamekuwa wakishangaa vijana wengi huku nje je wanafanyanini huku wakati Tanzania...
Gia kubwa iliyofanya muingie madarakani, wengi wenu mlikuwa mkiahidi kutoamia dar, lakini hivi sasa mmesahau na mnaishia dar na sio cdm 2 hata ccm pia.
Mh, hongera kwa majukumu yako ya ujenzi wa taifa.
Kwa niaba ya wakazi wa Msewe golani, ambao tupo katika kata ya ubungo jimboni kwako,tunapata kero kubwa ya maji kufuata kile tunachoweza kusema...