Kwa nini BOT, theTtresury, na NBS hawatoi takwimu za mwezi za 'unemployment' hapa TZ?

status quo

Member
May 6, 2011
87
38
moja ya mambo ambayo yananisikitisha sana juu ya uwajibikaji w aserikari yetu kw a wana nchi ni tatizo la uaptikanaji wa takwimu muhimu zaq kiuchumi ahpa nchini na hasa takwimu za ajira, jambo hili ni muhimu sana lina stahiri kupigiwa kelele, kwa sababu zifuatazo:
  • takwimu izi za ajira ni kiashiria muhimu cha tathimini juu ya ukuaji wa uchumi wa nchi hivyo ni rahisi kudanganywa kuwa uchumi unakuwa wakati kihalisia bado hauna impact kwa watu.
  • takwimu hizi ni muhimu mno kisiasa na dhana ya uwajibikaji wa kisiasa kwa ujumla sasa basi kama wanazikalia huko maofisini wanatunyima haki ya kuwawajibisha, mfano halisi ni nchi za magharibi ambapo tumeona maraisi, waziri wakiwajibishwa ama kwa kujiuzuru au kwa kunyimwa kura pale ambapo takwimu zinaonyesha 'policy failure' katika kutengeneza ajira.
hivyo basi yatupasa kulipigia kelel jambo hili na hasa vijana ambao ndio wahanga akubwa wa tatizo la ukosefu wa ajira nchini, BOT, NBS, na the TREASURY acheni kuendekeza siasa toeni takwimu.
 
Back
Top Bottom