Uongozi wa Kikwete

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,921
1,104
tangu ameingia madarakan wa2 wanamlalamikia yey na ccm hawatak kubadilika 2.
 
Huu ni utawala ambao ni laini sana. Watu wanafanya wanavyotaka. Watumishi waserikali wanaogopa kufanya kazi kwa kujiamini maana ukigusa watu wa kikwete kazi huna. Uliza katukuru, polisi. Nchi imejaa upendeleo, ubaguzi wa kutisha. Hujulikani huna haki!
 
Acha kulalamika wewe,fanya kazi ujipatie riziki,peleka watoto wako shule wapate elimu waje wajitegemee na wakusaidie,acha kabisa kukaa kijiweni kupiga soga.tumia muda wako kujiingizia kipato,buni jambo la kufanya..........au unategemea uletewe hapo kitandani?
mimi sina ninayemfaham serikalini lakini nilipeleka maombi/application,nikafanya interview,nikapata kazi tena mi ni mtoto wa mkulima kwa hiyo tusidanganyane apa.............
 
Wewe utakuwa unafanya kazi wilaya ya mkasi au tandahimba,!! unasema ulifanya interview eti ukapata kazi!!!!?? pole sana hivi wakiitwa wenye kazi na wewe utaenda kweli!!!!!?? Njoo hapa BOT kwetu tukuonyeshe kaka sisi ndo tuna kazi, ukipata tu kazi hapa unapewa hela ya kununulia makochi isiyopungua m5!!!!! upendeleo upo tena sana tu, kama una akili sana apply posst yeyote ikulu au BOT au Home affair, au Foreign affair halafu uone kama utaitwa kwenye interview potelea mbali kutaarifiwa tu kama hata application yako imefika!!!!!! endelea kufanya kazi halmashauri kijana, pigika na hizo rushwa ndogondogo ili uweze kumlisha mkeo na wanao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom