MAONI na MAPENDEKEZO ya CUF kwa Rais Kikwete: Soma nyaraka nzima... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MAONI na MAPENDEKEZO ya CUF kwa Rais Kikwete: Soma nyaraka nzima...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MANGI MASTA, Dec 4, 2011.

 1. MANGI MASTA

  MANGI MASTA Senior Member

  #1
  Dec 4, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nyaraka hiyo imetolewa kwa vyombo vya habari leo na Naibu Katibu mkuu(bara) wa CUF MH.Juliasi Mtatiro alipokuwaakiongea na waandishi wa habari Makao makuu ya CUF.
   

  Attached Files:

 2. MANGI MASTA

  MANGI MASTA Senior Member

  #2
  Dec 4, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mapendekezo yote hayo yakifanyiwa kazi basi Mchakato wa katiba mpya utatuletea katiba tunayoitaka.EXCELLENT CUF.Endeleeni kututea watanzania.
   
 3. MANGI MASTA

  MANGI MASTA Senior Member

  #3
  Dec 4, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we jamaa mdini sana.we ndo miongoni mwa watanzania wanaorudisha nchi nyuma.
   
 4. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #4
  Dec 4, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  I smell religious RAT:crutch:
   
 5. MANGI MASTA

  MANGI MASTA Senior Member

  #5
  Dec 4, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naunga mkono marekebisho ya kifungu cha 33 yanayotaka tume ya ya katiba ivunjwe mara moja baada ya kukamilisha kazi yake.hii itwawabana jamaa wa tume waliokuwa wanataka kuendelea kula mamilioni ya watanzania hata baada ya tume kumaliza kazi yake.
   
 6. MANGI MASTA

  MANGI MASTA Senior Member

  #6
  Dec 4, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka uko mochwari?hebu endelea na safari yako ya kuzimu utuache tujadili mambo ya msingi.
   
 7. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #7
  Dec 4, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Hawajagusa misingi ya sheria zaidi wameongelea flavor ya sheria.
   
 8. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #8
  Dec 4, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,696
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Mke kutoa siri za ndani kwenda nje ni tabia mbaya, huyu Mrs. CCM hakupitia hata kitchen party?
   
 9. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #9
  Dec 4, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,321
  Likes Received: 2,252
  Trophy Points: 280
  Sasa bungeni hayo hawakuyaona au walikuwa busy na posho iliyopanda?
   
 10. Kadamfu

  Kadamfu Senior Member

  #10
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ha2kitaki chama chenu cha makafir .ucamerun wenu huko huko makanisani
   
 11. Japhari Shabani (RIP)

  Japhari Shabani (RIP) R I P

  #11
  Dec 4, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 721
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hapa nataka kuuliza CUF mliisoma sheria hiyo ya marekebisho ya katiba baada ya kupitishwa na bunge au kabla au baada ya malalamiko wadau na CHADEMA ya kua inamapungufu?Kwa sababu kama mligundua hayo tungelisikia msimamo wenu wakati wa kuijadili bungeni,ambapo tulishuhudia wabunge wa CUF na CCM kutumia muda mwingi kumjadili Tindu Lissu na CHADEMA badala ya mswada wenyewe na hatimaye kuupitisha kwa mbwembwe.Kwa mantiki hii sikuona umuhimu wenu kukutana na Rais.Usanii mtupu MUNGU IBARIKI TANZANIA.
   
 12. Kadamfu

  Kadamfu Senior Member

  #12
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ucamerun wa makanisani uc2letee hapa
   
 13. Kadamfu

  Kadamfu Senior Member

  #13
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  camerun mkubwa wee halafu unatia kichefuchefu tokaaa
   
 14. T

  Topical JF-Expert Member

  #14
  Dec 4, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Very constructive ideas....
   
 15. Kadamfu

  Kadamfu Senior Member

  #15
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  maneno yako kama shoga
   
 16. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #16
  Dec 4, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Every one can say that eleborate to differentiate with others.
   
 17. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #17
  Dec 4, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  yahe wenzetu hawa
   
 18. T

  Topical JF-Expert Member

  #18
  Dec 4, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Chadema walikuwa wanaomba wawe wapewe nafasi kupita CUF badala ya kusema changes wanazotaka..
   
 19. GHIBUU

  GHIBUU JF-Expert Member

  #19
  Dec 4, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,188
  Likes Received: 705
  Trophy Points: 280
  haya mapendekezo yameingia sana katika siasa zao,nilifikiri watapeleka mapendekezo irudishwe tanganyika kwanza ikisha tujadili muungano,sisi wanzanzibari hatuwezi kujadili katiba ya tanzania wakati muungano haupoo.
   
 20. thereitis

  thereitis JF-Expert Member

  #20
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 297
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35

  Hakuna haja ya kutukanana; tushindane kwa hoja....... Kama kuna chama cha kidini jenga hoja..... usitulazimishe tuamini CUF au CDM ni vyama vya kidini....... Kama huna hoja nyamaza
   
Loading...