Kwa Mh Mnyika: Mradi wa Maji wa Wananchi wa Msewe Golani Wahujumiwa

MWananyati

Senior Member
Feb 3, 2011
160
53
Mh, hongera kwa majukumu yako ya ujenzi wa taifa.
Kwa niaba ya wakazi wa Msewe golani, ambao tupo katika kata ya ubungo jimboni kwako,tunapata kero kubwa ya maji kufuata kile tunachoweza kusema kuwa ni hujuma iliyofanywa na wasimamizi wa mradi wa maji ya kijiji chetu hasa ya kisima.
kero hii ya maji imeanza tangu mwezi wa tatu hadi leo maji hayapatikani kabisa. hata hivyo viongozi wa ule mradi wa maji uliokufa, ndo kwanza wamejiwekea sim tanks na kuwa ndo wauzaji wa maji kwa bei kubwa kwa manufaa yao wenyewe.

tunakuomba uje utusaidie kutatua kero hii kubwa sie wananchi wako
 
Kama ni viongozi wa kuchaguliwa si muwatimue tu, hata hili nalo mpaka aje John Mnyika alafu watu waseme amehamasisha fujo, timua uongozi wote wa kijiji, wekeni wanaojali maslahi ya wananchi au wewe pekee ndio umeliona hili? kama ni swala la umma najua wengi linawaumiza mjihamasishe wenyewe muutoe uongozi.
 
Back
Top Bottom