CUF live ndani ya Wapo Radio

waambieni chadema ni wanaume kwenda kuonana na mume wao wasipate wasiwasi wanaongea mambo ya kiume ndoa yao ipo palepale
 
waambieni chadema ni wanaume kwenda kuonana na mume wao wasipate wasiwasi wanaongea mambo ya kiume ndoa yao ipo palepale
Msemaji wa Cuf anasema wapo ktk Mpango wa kumushi nikiza Tendwa atengue viti maalumu CDM kwa kuwa Ni Kifamilia,mimi nasema kama ana akili timamu kwa nini asianze ni ccm am bapo kuna akina Zainabu Kawawa, Vicky Kamata ,.Mwaka 2003 Mbatia alifungua kesi kutengua wabungua wabunge wa Cuf ili CCM ISHINDE. Leo cuf inataka kutengua viti maalum Cdm ili CCM IPITISHE MSwaada wa katiba mpya
 
NCCR imekufa kwa kuwa imeimarisha CCM,na Cuf inakufa kwa kufunga ndoa Na CCM.
Msemaji wa Cuf anasema Cdm inaua Cuf bara ,lakini mimi nimemusikia Hamadi Rashid akisema Maalimu Seif anaua Cuf bara na amepanga kugombea nafasi hiyo kumutoa!
 
Hawa jamaa (CUF)NI BURE KABISA...Wanakataa eti hawajaungana na CCM kwenye uchaguzi wa IGUNGA!!!?? IKIWA WALISAMBASA UPUUZI KUWA CDM NI CHAMA KILICHO NA UDINI, NA AMBAYO ILITUMIWA NA CCM PIA ILI KUIDHOOFISHA CDM,WANAKATAA NINI? Tatizo hawajajitambua wanafanya maamuzi yacyopendwa na wanachama wao then wanalalama CDM inawahujumu... CUF KUBALINI VIONGOZIWENU NJAA KALI NA MLICHOKITAK TOKA KWA VIONGOZI WENU C HIKI MNACHOKIONA LEO..
 
Back
Top Bottom