Jan-Dec 2011: CCM Vs CDM, nani anaongoza kwa kuvunja haki za binaadamu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jan-Dec 2011: CCM Vs CDM, nani anaongoza kwa kuvunja haki za binaadamu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KAUMZA, Dec 6, 2011.

 1. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #1
  Dec 6, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Ni vyama vikuu vya siasa za Tanzania bara. Kutokana na mikiki mikiki ya kisiasa, CDM wakijaribu kufanya kila wawezalo ili kuchukua dola 2015 ilhali CCM wakifanya kila njia kuizuia CDM kufikia malengo yao, kuna matukio ya uvunjifu wa haki za binaadamu kwa vyama vyote. Mfano: walinzi wa CDM waliwapiga vijana wanaosadikiwa kuwa wafuasi wa CUF siku ya mdahalo wa Mh. Mbowe na Mh. Hamadi Rashid. CCM kwa upande wao walivamia hoteli waliyofikia viongozi wa CDM kule Igunga kwa lengo la kuwadhuru.

  Tuelezane matukio mengine ya uvunjifu wa haki za binaadamu yaliyofanywa na vyama vyetu hivi vikuu kwa msimu wa Jan-Dec 2011
   
Loading...