Waziri Chikawe aijia juu UK kutaka watuhumiwa wa rada kufikishwa mahakamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri Chikawe aijia juu UK kutaka watuhumiwa wa rada kufikishwa mahakamani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Synthesizer, Dec 6, 2011.

 1. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #1
  Dec 6, 2011
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 4,338
  Likes Received: 3,131
  Trophy Points: 280
  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utawala Bora), Mathias Chikawe amewajia juu wabunge wa Uingereza kwa kuwataka waeleze idadi yawahusika wa kashfa hiyo walioko nchini mwao waliokwisha kufikishwa mahakamani, kabla ya kuwanyooshea kidole watuhumiwa walioko Tanzania.

  Mie nashinda kuelewa; ina maana Chikawe ana maana viongozi wa Tanzania wanakula rushwa kwa kuwa viongozi wa Uingereza wanakula rushwa? Mie sioni kwa nini hili suala liwe la kuja juu. Mtu mwenye busara angekaa kimya tu badala ya kuidhalililisha nchi na yeye binafsi kwa majibu kama haya. Kama tuna ushahidi kwa nini hatuwachukulii hatua, whether Uingereza wanatushinikiza au la. Mie nadhani baadhi ya wanasiasa wana tatizo la kushindwa kufikiri kabla hawajasema.
   
 2. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #2
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  two wrongs can't make it right! huenda halijui hilo. Yeye anadhani wanasiasa wa uingereza walishiriki ktk huo mchezo mchafu, na ndipo anapoingilia chaka eneo hili.
   
 3. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #3
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Shida ya viongozi wetu ni kudhani kuwa mtu anapaswa kujibu kila hoja hata kama huna hoja.

  Mfano: Utamsikia mtu kama Wasira akikurupuka na kuyashutumu magazeti kwa uchochezi kwa kumpiga picha akifuatilia mjadala wa bunge kwa 'makini' huku akiuchapa usingizi; kisha mwishoni anasema siku hiyo alikuwa amekunywa dawa.
   
 4. f

  firehim Member

  #4
  Dec 6, 2011
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Sera za kulindana. Eti waziri utawala bora. Utawala wa kulinda wezi hii kali.
   
 5. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #5
  Dec 6, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Masaburi hakukosea kuhusu gamsha za baadhi ya viongozi wetuna tutazidi kumkumbuka!!!!!!
   
 6. K

  Kintiku JF-Expert Member

  #6
  Dec 6, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Chikawe is one of the ..........................ministers Tanzania has had ever.
   
 7. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #7
  Dec 6, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Sijui Utawala wa Sheria wanaouongelea uko wapi? Leo wanataka tuwalipe DOWANS, eti tunafuata utawala wa sheria. Kuwashitaki wahalifu, hatuwezi mpaka Waingereza wawashitaki wa kwao! Hapa sasa mnadhihirisha wazi kwamba beneficiary wa Pesa ya Dowans si wengine bali ni Vigogo wakubwa tu waliopo serikalini pamoja na familia zao. JK lazima anahusika.
   
 8. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #8
  Dec 6, 2011
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,317
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  CCM wanachelewesha tu hili, lakini siku itafika tutawachokonoa kwa vijiti kama alivyofanywa Gadafi.
   
 9. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #9
  Dec 6, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,611
  Likes Received: 3,913
  Trophy Points: 280
  ccm wote wezi.....!!
   
 10. Lyceum

  Lyceum JF-Expert Member

  #10
  Dec 6, 2011
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 915
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 80
  Huyu jamaa simsikii mara akichangia mahoja, muda mwingi anakuwa kimywa ila akiongea inakuwa ni pumba inayofidia muda wote aliokuwa kimya. Kwa hiyo anasubiri uingereza wakamatwe na ndipo wakamate huku.

  Swali: Wasipowapeleka mahakamani ni kwa faida/hasara ya waingereza?
  Hawa ni aina ya viongozi (by accident) ambao hata Mungu hawaelewi maana hakuumba watu wa sampuli hiii (SORRY TO SAY)
   
 11. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #11
  Dec 6, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,343
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
  kwani sisi siku zote ni mikia kufuata kichwa kinafanya nini? Kwanini tusiunde utaratibu wetu wenyewe wa kushughulika na matatizo yetu tunasubiri waingereza waanze sisi ndio tufuate? Halafu mnampinga Cameron! The guy was right knowing this kind of thinking.
   
 12. zimmerman

  zimmerman JF-Expert Member

  #12
  Dec 6, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 579
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 80
  Mi huwa najiuliza hivi JK wahudumu wake huwa anaiwatoa wapi? Kiila kitokacho vinywani mwao ni najisi kwa watanzania. Hivi mtu kiongozi wa serikali mwenye akili unaweza kusimama mbele za watu na kusema hivyo, eti hatuwafikishi mahakamani wezi wetu kwa sababu wezi wenu hamujawafakisha mahakamani? This is too much to muster. Kwa namna ya viongozi tulionao inanifanya vigumu kujitambulisha kama mtanzania chini ya utawala huu.
   
 13. M

  MASIKITIKO JF-Expert Member

  #13
  Dec 6, 2011
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 842
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 60
  MASIKITIKO!Log out
   
 14. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #14
  Dec 6, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Huyu nae hamnazo kweli kweli
   
 15. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #15
  Dec 6, 2011
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Ni sawa na kusema kwa kuwa nyie hamjakamata wezi sisi hatukamati. Kwa kifupi ni kuwa anathibitisha kuwa kuna wezi nyumbani lakini hawataki kuwakamata, so poor. Kwenye red hapo umemaliza kila kitu.
   
 16. Japhari Shabani (RIP)

  Japhari Shabani (RIP) R I P

  #16
  Dec 6, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 721
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Tatizo kwabwa kwa Nchi yetu ufisadi wowote mkubwa unawahusisha viongozi wa ngazi za juu wa serikali na CCM akiwemo rais mwenyewe JK ni system ambapo wanalindana hata kama hakushiriki katika sakata la rada kuna ufisadi mwingine atakao kua ameshiriki hivyo mambo ni kulindana ndio maana katika masakata yote ya ufisadi serikali,JK na CCM wanakua na kigugumizi na kutetea ufisadi.MUNGU IBARIKI TANZANIA.
   
 17. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #17
  Dec 6, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  List ni ndefu ya walio kura mgao wa rada nasikitika wazungu eti wamewarudishia chenji iliyo zidi waendelee kunufaika huku shule hazina madawati walimu wanalala vyooni polisi wetu wanalala kwenye vibanda umiza huku wenye vyeo wanalala kwenye magorofa machafu rangi tu kupaka tabu hospitalini huko ndo balaa wao mafua tu wanakimbizwa lndia.
   
 18. W

  Welu JF-Expert Member

  #18
  Dec 6, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 815
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Waziri wa BORA utawala.
   
 19. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #19
  Dec 6, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Halafu atatokea mwendawazimu mwingine na kukanusha habari za WIKI LEAKS kwamba JK ndiye baunsa
  (read Godfather) wa mafisadi wote nchini.
   
 20. Kelvin X

  Kelvin X JF-Expert Member

  #20
  Dec 6, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 885
  Likes Received: 651
  Trophy Points: 180
  nimesoma gazeti la leo nimehuzunika sana kwamba haya ndo majibu ya viongozi wetu wenye thamana, ila nikafikiria tena nikagundua aaah! kumbe sisi wananchi ndo tumewachagua? lakini naamini mpaka siku mtanzania wa chini atapoona na kugundua kua viongozi wao ndo majibu yao hayo kilasiku na thihaka za makusudi za kuwalinda wezi, ukombozi bado upo utakua mbali.
   
Loading...