Askofu wa kanisa katoliki Jimbo la Rulenge Ngara, Mhashmu Severine Niwemugizi amesema hatuwezi kuzungumzia uhuru wa Tanganyika na badaye Tanzania wakati kuna watu wamejaa ubinafsi
Askofu...
mchina-amwaga-machozi-baada-ya-kukutana. na wenzie aliyofanya nao kazi TAZARA mwaka 1969 wakiwa kwenye shida
Leo kuna mcina kakutana na mzee mmoja aliyeafanya naye kazi TAZARA enzi hizo ona...
Nchi ya Tanzania Bara ndani ya Tanzania ?Written by Mrfroasty (Ufundi) // 04/12/2011 // Makala/Tahariri // 2 Comments
Kwanza tuanze na mwenge wa uhuru.
Huu mwenge ni wa uhuru gani? Tanzania...
Wanajamvi tumeshuhudia maadhimisho ya miaka hamsini ambayo mm ninayaita ya kushusha bendera ya mkoloni yakigumbikwa na utata, nashauri kesho iwe ni mda muafaka kwa watanganyika kudai uhuru kamili...
WanaJF
Mie nadhani E. Lowassa angechukua hatua ya haraka ya kukata mzizi wa fitina unaomuandama kwa kufanya yafuatayo:
Kwa kuwa tuhuma kubwa dhidi yake ni ufisadi wa Richmond/Dowans...
Posted on December 5, 2011 by zanzibaryetu
Mzee Ibrahim Mohammed Hussein akichangia mada katika moja ya makongamano yaliokuwa yakijadili mchakato wa katiba mpya ya Jamhuri ya Mujngano wa...
Nami kama mtanganyika(tz bara)nina Nguvu ya hoja,ktk miaka50,tufanye mabadiliko juu ya serikali ya jamhur ya muungano(ambayo imeimeza tanganyika)mi naomba miaka 50 hii,sasa hivi iwe zamu ya...
wana JF,Jana nilishikwa na butwaa baada ya kufika mtaani kwangu Usa River Arusha na kukutanana jamaa mmoja akaniambia kuwa amechaguliwa na ccm kuwa balozi wa mtaani kwetu.
Kinachonishangaza sisi...
- Well, ni miaka takribani 20 sasa toka Tanzania tuingie siasa za vyama vingi na sio siri kwamba matokeo bado hayaridhishi kulinganisha na nchi zingine ambazo tuliingia nazo hii system kwa wakati...
Protectoratesand protected states
Protectorates and protected stateswere foreign territories to which British protection was extended in some form.
Protected states were places inwhich:
there...
Habari za jioni wadau!
Hivi sasa ndio natoka katika mkutano wa CHADEMA uliofanyika katika Ukumbi wa Mtenda Sunset 1 uliopo Jijini Mbeya,Maeneo ya Soweto.
Mkutano huo umefanyika katika...
Madiwani 18 wa CCM katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya na 18 wa upinzani (Chadema) wamesaini barua na kuzifikisha kwa Mkurugenzi wa Jiji hilo, Juma Idd, wakitaka aitishe haraka mkutano wa dharura...
Katiba ya Zanzibar ni Gari Letu la Mwisho
Na Dk Harith Ghassany
Katiba yetu ya Zanzibar ndio dira! Kama kuongeza au kupunguza ni ndani ya Katiba ya Zanzibar. Tukiishadidia Katiba ya Jamhuri ya...
Jakaya Kikwete Baadhi ya ujumbe/maoni toka
kwenu: 1."Hello Rais wangu. Serikali
kwa sasa sio sikivu tu bali
imekuwa na upole uliopitiliza
kiasi kwamba wanasiasa
uchwara na wanaharakati...
Published On: Wed, Dec 7th, 2011Tanzania |
Swedish Minister for International Development Co-operation, Ms Gunilla Carlsson
Sweden ranks the best among the 22 wealthy countries in the world...
Kwa kutuona sisi Watanzania nni Majuha na mazezeta natoa wito huyu Katibu wa Bunge ndg Kashilila ajiuzulu mana amedanganya umma huyu nae ni mwizi na fisadi tu...kama hataki tulianzishe maandamano
Ukilitizama hili sakata la kupandishwa kwa posho za wabunge jinsi lilivyoamuliwa na kupingana kwa kauli za katibu wa bunge Dr.Kashalilah na spika wa bunge Anne Makinda,ukiukaji wa kanuni za bunge...
Wanajukwaa hili la Siasa, na wale Great Thinkers naomba kufahamishwa huu ukoo wa Wazanaki kule Musoma umetoka wapi na historia yao katika mapambano ya kupinga ukoloni Tanganyika.Tunajua walikuwepo...
Habarini wanajukwaa, hivi watanzania tulio wengi sherehe za kesho zinatuhusu? Me nachojua kauli mbiu yao inawahusu wao? Mafanikio gani mwananchi wa kawaida ameyapata mpaka ajivunie miaka 50 ya...