Miaka 50 ya kushusha bendela ya mkoloni sio ya uhuru wa Tanganyika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miaka 50 ya kushusha bendela ya mkoloni sio ya uhuru wa Tanganyika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Wa kusoma, Dec 8, 2011.

 1. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #1
  Dec 8, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,318
  Likes Received: 2,252
  Trophy Points: 280
  Wanajamvi tumeshuhudia maadhimisho ya miaka hamsini ambayo mm ninayaita ya kushusha bendera ya mkoloni yakigumbikwa na utata, nashauri kesho iwe ni mda muafaka kwa watanganyika kudai uhuru kamili yaani kuachana na muungano au kuwa na muungano wenye serikari tatu. kwa hiyo NASHAURI KESHO IWE SIKU YA KUDAI UHURU WA TANGANYIKA.
   
Loading...