Askofu Niwemugizi: Uhuru wakati kuna ubinafsi sio uhuru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Askofu Niwemugizi: Uhuru wakati kuna ubinafsi sio uhuru

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by johnmashilatu, Dec 8, 2011.

 1. j

  johnmashilatu JF-Expert Member

  #1
  Dec 8, 2011
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 538
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 80
  Askofu wa kanisa katoliki Jimbo la Rulenge Ngara, Mhashmu Severine Niwemugizi amesema hatuwezi kuzungumzia uhuru wa Tanganyika na badaye Tanzania wakati kuna watu wamejaa ubinafsi

  Askofu Niwemugizi amesema katika kuadhimisha miaka 50 ya uhuru wa tanganyika ni lazima kuangalia kuwa roho iliyojaa ubinafsi haijawa na uhuru wa kweli

  kiongozi huyo wa kanisa katoliki jimbo la Rulenge Ngara amesema viongozi na raia wote hawana budi kuonyesha kuwa huru kutokana na ukwelii

  "haya mambo ya kutenda kwa uongo uongo, kudanganya danganya, kumbe watu wna mambo yao ya kibinafsi haya mambo yana udhuru sana uhuru wetu", amesema askofu huyo
   
 2. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #2
  Dec 8, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Ndio maana tunasema hakuna cha kusherehekea lakini kwa vile watanzania ni makondoo yatapigwa na jua yanaimba kuishia kutoka na mijasho na kiu wakati akina chenge wanakula pauni za rada.
   
Loading...