Bundi la Meya lahamia Mbeya

EasyFit

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
1,269
1,082
Madiwani 18 wa CCM katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya na 18 wa upinzani (Chadema) wamesaini barua na kuzifikisha kwa Mkurugenzi wa Jiji hilo, Juma Idd, wakitaka aitishe haraka mkutano wa dharura, wenye lengo la kumwajibisha meya wa jiji la Mbeya bwana Athanas Kapunga. Kazi ipo.
 
Back
Top Bottom