Mbinu chafu zaundwa na CCM

EMMANUEL NSAMBI

JF-Expert Member
Oct 25, 2011
402
83
wana JF,Jana nilishikwa na butwaa baada ya kufika mtaani kwangu Usa River Arusha na kukutanana jamaa mmoja akaniambia kuwa amechaguliwa na ccm kuwa balozi wa mtaani kwetu.

Kinachonishangaza sisi hatukuwahi hata kumpendekeza huyu jamaa kuwa balozi wetu.

Hivi ubalozi si mtu anachaguliwa na wakazi kwa kupigiwa kura ka chaguzi nyingine?Naanza kunusa dalili mbaya huko mbele makamanda tuwe macho.

Nawasilisha.
 
Balozi ni kiongozi wa nyumba kumi wanachama wa CCM, kwa hiyo si tatizo kama wao waliamua kumteua badala ya wanachama kumchagua. Jambo la maana kwako ni kuwa uongozi wake wewe haukuhusu kama si mwanachama wa CCM, hawakilishi serikali, yeye mandate yake inaishia kwa wanachama wenzake wa magamba. Kiongozi wa serikali ni mwenyekiti wa kitongoji, siyo mjumbe wa nyumba kumi kama wanavyopenda wenyewe kumwita Balozi.
 
tena kama akija kwako na wewe si mmoja wa hao magamba,vunja vunja ile meno ya sebuleni na kesi mwite kamanda Lisu na Marando watamaliza,zamani marehemu wa kisiasa Lamwai kwake ilikua issue ndogo sana.
 
Back
Top Bottom