Kupandishwa kwa posho za wabunge ni hongo kwa kupitisha mswada wa katiba?

Jan 16, 2007
721
176
Ukilitizama hili sakata la kupandishwa kwa posho za wabunge jinsi lilivyoamuliwa na kupingana kwa kauli za katibu wa bunge Dr.Kashalilah na spika wa bunge Anne Makinda,ukiukaji wa kanuni za bunge na wabunge wa CCM na CUF kutokikemea kitendo hicho kinanifanya nihisi ya kua kuongezwa kwa posho hizi ilikua rushwa kwa wabunge ili wapitishe mswada mbovu wa marekebisho ya katiba.Nawakilisha.MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Back
Top Bottom