Miaka 50 ya uhuru na giza lililo mbele yetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miaka 50 ya uhuru na giza lililo mbele yetu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mataka, Dec 7, 2011.

 1. m

  mataka JF-Expert Member

  #1
  Dec 7, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 287
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Habarini wanajukwaa, hivi watanzania tulio wengi sherehe za kesho zinatuhusu? Me nachojua kauli mbiu yao inawahusu wao? Mafanikio gani mwananchi wa kawaida ameyapata mpaka ajivunie miaka 50 ya uhuru? Ikiwa leo nimeenda hospitali ya wilaya dr kaja saa5,nauliza mtaalam wa mifupa wanasema hawana, sasa sijui majeruhi hali inakuwaje! Kwenda kwenye dirisha la dawa kila dawa hamna, mimi mwenyewe nilikosa dawa,kilichoniuma zaidi eti hata dicloènaki hakuna,yani karibia wote tulioandikiwa dawa mbalimbali tumekosa? If that is the case miaka hamsini mimi ya nini? Kama huduma zote za kijamii ni mbaya? Si afadhali tungechelewa kupata uhuru kama namibia? Watanzania wenzangu uwanja wa uhuru ijumaa si mahala petu?waache wenyewe wakasherehekee jinsi walivyovimbisha matumbo yao miaka 50.
   
 2. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #2
  Dec 8, 2011
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,155
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Mkuu naomba uipotezee tu maana itakupa msongo wa mawazo bure
   
Loading...