Miaka 50 ya uhuru Tanganyika!Tubadilishane na zanzibar kulea mwana wetu

TASLIMU

Senior Member
May 6, 2011
144
21
Nami kama mtanganyika(tz bara)nina Nguvu ya hoja,ktk miaka50,tufanye mabadiliko juu ya serikali ya jamhur ya muungano(ambayo imeimeza tanganyika)mi naomba miaka 50 hii,sasa hivi iwe zamu ya zanzibar kubeba serikali ya JAMHURI YA MUUNGANO,alafu TANGANYIKA ichukue nafasi ya ZANZIBAR,Rais wa iliokua serikali ya zanzibar awe wa jamhuri,alafu wa tanganyika abaki tanganyika,sisi tanganyika tuwe na bunge la wawakilishi,mambo ya muungano yote yahamie zanzibar(imezwe)vyama vya michezo vya taifa km TFF viamie zanzibar,nk,ikipita tena miaka 50,irudi tena bara
Iwa mwema
Wakatabahu
 
Hilo nalo neno, ila we unadhani akina yahe watakubali hilo wazo lako?
 
Back
Top Bottom