kumbu mhe lowasa alisema mengi nec na kufananisha dhana ya ccm kujivua gamba na kitunguu eti kila hatua ina gamba ukiamua kuvua patabaki patupu kadhalika ccm wakiamua kuvuana gamba habaki mtu
Tanzanias Chief Justice Mohamed Chande Othman may be the man to prosecute the six Kenyans accused of bearing the greatest responsibility for the post election violence.
He is among four people...
Mbunge wa kigoma kaskazini zito kabwe kesho december 11 atakuwa kanisa Anglican (mt Nikolai) ilala katika sherehe za siku ya mavuno ibadani hapo wote mnakaribishwa kumuunga mkono kamanda wetu...
Indian investors plan to spend $2.5bn on acquiring vast tracts of cheap farming land in Ethiopia, Tanzania and Uganda
Indian agribusiness companies are ready to spend $2.5bn buying, or renting...
Ama kwa hakika ni jambo la kusikitisha kuona wawakilishi wa mwananchi ambao wanawezeshwa na mwananchi mwenyewe kufika walipo wanashindwa kuhudhuria makongamano mablimbali mkoani kagera...
MIMI Rais kanishangaza na kuniacha na maswali magumu
1.kutoa hotuba ambayo kaoengelea lami tu kama ndo issue kubwa lenye hadhi ya kuongelea katika kuadhimisha miaka hamsini ya uhuru???
2.ktunuku...
"Kwa kuwa wakoloni walituachia misingi dhaifu ya maendeleo ndio maana kazi ya kukuza uchumi ni kubwa" -JK . Ni kweli maendeleo tunayaona ila si sawa kwa miaka 50, tupunguze kujaza matumbo binafsi...
Ni jambo lisilopingika kuwa tanzania imepiga hatua kubwa katika maendeleo ya kiuchumi, kisiasa na hata kijamii. Lakini tunajisifu kanakwamba ni sisi pekee tumefanikiwa zaidi kuliko nchi nyingine...
Wapendwa wana JF bila shaka hamjambo,Asalaama Aleikhum; Bwana asifiwe!!!
Jamani natoa ushauri kwa chama cha CHADEMA, tegemeo la wanyonge wanaodhurumiwa Watanzania, fanyeni mambo ya uhakika...
Kauli mbiu ya maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru imetolewa leo ambayo ni 'Tumethubutu, Tumeweza na Tunasonga mbele'
Je iko relevant na Tanzania ya leo miaka 50 baada ya Uhuru?
Waziri mkuu aliyejiuzuru EL amesema"viongozi wanaotakiwa kuwajibika kwa kujiuzuru Serikalini wafanye hivyo kama alivyofanya yeye" SOURCE TBC1 habari 20:00
Baada ya maandalizi ya muda mrefu kidogo, vikao kadhaa, huku akilazimika kukatisha ili akabiliane na majukumu muhimu ya kitaifa kama vile vikao vya bunge na suala nyeti la Katiba Mpya, hatimaye...
Leo kwenye taarifa ya habari nimemuona Speaker Makinda akisema kuwa kuna wanasiasa wanawadanganya wananchi,
lakini wanasiasa hao wajue kuwa jinsi siku zinavyokwenda uongo wao unagundulika na...
Wanajamvi: Stori hii nimeipenda kwani tukio la CCM kutaka kuteka sherehe za miaka 50 ya uhuru pale Mnazi Mmoja lilizimwa na vijana wa CDM. Pia inasdhihirisha kwamba polisi daima ni watumishi wa...
serikali ya halmashauri ya wilaya ya Ludewa, leo ilihagiza wafanya biashara wote kufunga sehemu zao za biashara baada ya kugundua kwamba zoezi la kuazimisha miaka ya 50 ya uhuru wa Tanzania bara...
Limeibuka kundi la watoto ambao wanakaa kwenye traffic lights na kuvizia magari then wanaosha vioo (wind screens) bila hata kumuomba dereva kufanya hivyo. Then wanaomba uwape hela ya kula...
Baada ya kumaliza kusherehekea miaka 50 ya uhuru wa iliyokuwa Tanganyika...huu ni wakati muafaka wa kutafakari kuiunda upya Tanganyika kwa kutumia fursa pekee tuliyo nayo ya katiba mpya inayokuja...
Uganda: 19,000,000 Million Ugsh (12,512,184.99 TZS),190 million shillings (125,552,859.19 TZS) per MP to purchase cars
Kenya:
Below is a Kenyan MPs total salary per month
Basic salary...
Kumekuwa na matukio huko Kigoma kufuatia mauaji ya malipizi na vifo mikononi mwa POlisi. Sasa hivi wapo watu wanalala msituni wakikimbia kila gari linalopita. Polisi watuhumiwa kuua raia mikononi...
Wakuu,
Jana tumeadhimisha miaka 50 ya Uhuru wa TANGANYIKA.
Kwa waingereza siku ya jana hata kama hawaadhimishi lakini wanakumbuka kuwa ni siku waliyokabidhi uhuru kwa nchi iliyoitwa TANGANYIKA...