Nimemkumbuka kwa vile najua yeye ni mtendaji mkuu wa shughuli zote za serikali lakini tangu janga hili la mafuriko litokee sijamuona wala kumsikia, kweli sijui nini kimemsibu, kuna yeyote aliye na...
Wanabodi...
Kipima joto ITV wageni waalikwa ni Prof Issa Shivji, kutoka kigoda cha mwalimu pamoja na John Mnyika, kutoka Chadema pamoja na Isack Cheyo, kutoka UDP
Wana JF natafuta hii document .. The constitutional Review act 2011. Bill no 1-2011-1 . Introduction date:11 March 2011 Bill stage : First reading 6 April, 2011. Juhudi ambazo nimefanya ni kupita...
Nawashukuru sana sana vijana wa CCM na wazalendo wengine wote baada ya kutoa wito kushiriki kutoa misaada mbalimbali kwa waathirika wa mafuriko yaliyotokea Dsm, mmejitekeza kwa wingi na moyo...
Thursday, 22 December 2011 20:29
Rais jakaya Kikwete(katika) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mahusiano ya Jamii .Stephen Wasira(kushoto),Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadik,Meya wa Ilala...
Kama anaitembelea, je ni feedback gani anapata?
Nadhani hili ni jukwaa huru la watanzania wasomi kwa mbumbumbu, wake kwa waume wa dini na rika mbalimbali kutoa maoni yao.
Mengi yaliyokuwa...
Wana JF hebu tulijadili hili la waathirika wa mafuriko.Nimekuwa nafatilia taarifa za habari naona makampuni na watu binafsi wanajitolea kwa moyo kuwapa msaada wenzetu walioathiriwa na mafuriko. Ni...
SalamuWanajamvi! Prof Shivij, Mh John Mnyika na Aizeck Cheo wako Itv live kwenye Kipima joto wakijadili mswada wa kitiba mpya, sahizi prof shivij anatoa ufafanuzi juu ya mchakato wa katiba mpya na...
Prof. Mahalu ameanza kujitetea jana mahakamani katika kesi yake ya Uhujumu uchumi inayomkabili na Kuwataja Mabosi wake enzi hizo akiwa Balozi wa Italy kwamba aliwaarifu kinachoendelea katika...
Namsifu sana Hayati Mwl. J. K Nyerere kwa uzalendo wake kwa taifa lake lakini nasikitika kwamba umetuchia matatizo makubwa sana, kwani viongozi wengi waliopo sasa akiwepo mkuu wa kaya wametokana...
Borders are likely to be remade out of a dire need to survive. Countries threatened with extinction because they have run out of water or energy, will have little choice but to attack those that...
Na Saed Kubenea - Imechapwa 14 December 2011
Naye atakiwa kujiuzulu
Waraka mzito wavuja
CHADEMA yaitwa ‘mchawi'
RAIS Jakaya Kikwete amekaliwa kooni. Wakati chama chake kinakabiliwa na...
Airport workers offload cargo from a plane at Julius Nyerere International Airport in Dar es Salaam. Picture: File By ROSEMARY MIRONDO
Posted Sunday, December 20 2011 at 00:00
Tanzania expects...
Leo nilipita kijiwe kimoja nikakuta mjadala mkubwa juu ya kuwepo uwezekano wa watumishi wa serikali kutolipwa mishahara kabla ya sikukuu ya krismasi. Mara Payroll bado, mara hata wanajeshi bado...
Chini ya utawala wa Nguvu yaUmma,
Nilikwishawaambia "mawe ni mepesi mkononi, ila ni mazito usoni" sasa leo hii imeanza tarime, mfano ni huu kuanzia sasa, na utaendelea kuwatokea viongozi...
"Ninachosema ni hivi, kwa mbunge wa kweli ambaye anasimamia maslahi ya wananchi wake, hizo fedha si nyingi. Kwa sababu mbunge makini anahitaji kutoa misaada, kuona malengo ya wapiga kura wake...
Wana Jamii
Kuna uvumi kuwa mwenyekiti wa CDM katika manispaa ya Mbeya (Mwambigija)i anashirikiana na mbunge wa viti maalum wa CCM (Bi Mwanjelwa) kwa lengo la kudhoofisha nguvu ya CDM katika jimbo...
GreatThinkers,
Ni katika kusaidia kuwapa fikra hawa wazee wetu, kila kitu wanaogopa hata kutoa tamko na kutekeleza.
Sasa fanyeni yafuatayo.
1.Majengo yote yaliyo bondeni yabomolewe, kipimo kiwe...
Nimeona kwenye runinga ya K24 rundo la pembe za ndovu zimekamatwa bandari ya Mombasa. Katika maelezo yao wanadai zilikuwa zinasafirishwa kama plastics kutokea TZ kwenda Dubai lakini mwenye mzigo...