Yuko wapi mtoto wa mkulima yeye mafuriko hayamhusu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yuko wapi mtoto wa mkulima yeye mafuriko hayamhusu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by EasyFit, Dec 23, 2011.

 1. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #1
  Dec 23, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Nimemkumbuka kwa vile najua yeye ni mtendaji mkuu wa shughuli zote za serikali lakini tangu janga hili la mafuriko litokee sijamuona wala kumsikia, kweli sijui nini kimemsibu, kuna yeyote aliye na taarifa yake.
   
 2. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #2
  Dec 23, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  Kama boss wake alikua anakula bata serengeti unadhani ye atakua wapi?? ..kwanza kudiba/ kuogelea hajui...
   
 3. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #3
  Dec 23, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mtoto wa mkulima ameujua mji sasa kaenda kupumzika nje ya nchi kwa ajili ya x mass
   
 4. m

  mambomengi JF-Expert Member

  #4
  Dec 24, 2011
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 829
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  msimu wa mvua za vuli. Wakulima wapo shambani wanapanda.
   
 5. IsangulaKG

  IsangulaKG Verified User

  #5
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Mnafiki mkubwa yule jamaa
   
 6. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #6
  Dec 24, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,582
  Likes Received: 1,675
  Trophy Points: 280
 7. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #7
  Dec 24, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  dah! yani nimecheka hadi basi, humu JF hata kama una stress lazima zitakwisha tu.
   
 8. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #8
  Dec 24, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  ha ha uso wake unaonesha yuko busy..it seems alikua na kiu nayo kweli hapo kakata ngabu moja..Gambe ka xmas katavi

   
 9. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #9
  Dec 24, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,196
  Trophy Points: 280
  Bilal anavyowaangalia utafikiri anataka kutapika. Ova anasema "Mitwana hii haioni kinyaa?"
   
 10. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #10
  Dec 24, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  - Great Thinking at best!, strong analysis!

  Le Baharia!
   
 11. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #11
  Dec 24, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,760
  Likes Received: 83,064
  Trophy Points: 280

  We acha tu Mkuu :):), hata mimi nimecheka sana nilipoiona hii picha. Mtoto wa mkulima yuko Sumbawanga akinyonya mvinyo wa kifipa kwa mrija lol!...hii ndiyo sababu hajatia neno hadi hii leo kuhusiana na mafuriko.
   
 12. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #12
  Dec 24, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,196
  Trophy Points: 280
  Mnamuona Maimuna maamuma maaluni anavyonifuatafuata kaa nzi wa dodo huyu?

  We baharia wa nchi kavu vipi? Ushaanza kuwashwa nini?

  Unafikiri mie niko stuck up kama wewe tai kuuuubwa ka ofisa wa benki kumbe intellectual Bichkoma msukuma taka mwenye Ass Degree bila balls?

  I never claimed to be a Great Thinker, to the contrary, I lamented that JF motto as being pretentious because great thinkers don't label themselves as so, they are given the accolades. Wapi nimesema mie great thinker? Kukusahihisha makosa ya lugha hakuna maana nimesema mie great thinker.

  Again unaonyesha comprehension ilivyo ndogo na ku assume kulivyojaa.

  I know to get loose without fear of being branded names, I am at peace with myself and I am neither looking for praise nor fearing scorn.

  Don't make me do it cause I overdo it.
   
 13. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #13
  Dec 24, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,415
  Trophy Points: 280
  Duh! Kumbe kuna beef ya ki Tupac na Biggie inayoendelea
   
 14. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #14
  Dec 24, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Hata mimi naiona.
   
 15. W

  WILLS Member

  #15
  Dec 24, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna mtu mnafiki kama uyo anae jiita mtoto wa mkulima, mimi nilianza kumchukia pale alipokwenda kumuuzia rafiki yake mzungu. Maelfu ya maeka uko kwake sumbawanga...nawaapieni uyojamaa sio mfano wakuigwa na ni wakuogopwa kuliko kitu chochote. Watu hawana maeneo ya kulima alafu anaenda kuuza maelfu ya eka, alafu anajiita mtoto wa mkulima? Ovyo kweli uyu mtu..kama yupo umu abishe nitatoa ushaidi wa kilakitu...muone.
   
Loading...