CHADEMA yajidhirisha kuwa ni imara sana Sumbawanga mjini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA yajidhirisha kuwa ni imara sana Sumbawanga mjini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ptz, Dec 24, 2011.

 1. P

  Ptz JF-Expert Member

  #1
  Dec 24, 2011
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 466
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  Shaloom wanajamvi! Kitendo cha watendaji waandamizi wa CCM na Serikali mkoa wa Rukwa na wilaya zake kushiriki katika mapokezi ya aliyekuwa kibaraka wa CCM ndani ya CHADEMA bw Shayo aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ni kielelezo tosha kuwa CHADEMA ni imara na itaendelea kuwa na nguvu Sumbawanga mjini, nguvu nyingi sana zilitumika ikiwepo kutumia Televishen ya Manispaa kwa takribani saa nzima kuonesha tukio lote, kauli ya mwenyekiti wa CCM ndugu Matete na Mkuu wa mkoa aliyekuwa mgeni rasmi zilionesha kuwa dola na utawala wa mkoa kwa unanyimwa usingizi kwa nguvu kubwa ya CHADEMA Sumbawanga mjini, nilimkariri Stella Manyanya "mkuu wa mkoa" akisema hali ya kisiasa mkoa wa Rukwa inamhuzunisha na mkukerehesha yeye kama kada wa CCM na kuwa atatumia uwepo wake Rukwa kupambana nayo.Naye mwenyekiti wa mkoa nimkariri akisononeshwa na ushindi wa kishindo wa CHADEMA kwa chaguzi ndogo za serikali za mitaa zilizofanyika hivi punde katika vijiji na vitongoji vya manispaa. Ukomavu wa CHADEMA umeonakana kwa sana pale bw Shayo alipotakiwa kuongea na kujidhirisha kuwa alikuwa na njaa hali iliyopelekea wajumbe waliokuwepo kuamka na kuanza kumpatia pesa kama sadaka, posho na shukrani kwa kukabidhi kadi ya Chadema.Hafla hiyo iliitishwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa na kuhudhuriwa na wakuu wa wilaya, wakurugenzi, wakuu wa idara za umma ,viongozi wengine waandamizi na makada wa CCM. Nawapongeza CHADEMA kwa kuimarika Sumbawanga na kuwa baada ya kibaraka wa CCM bw Shayo kurudi CCM ngome itaimarika zaidi. Source: Sumbawanga Tv
   
 2. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #2
  Dec 24, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  CDM imeimarika nchi nzima, wanachotakiwa ni ku-fine tune kukubalika kwao na kugeuza kuwa ushindi 2015. Nasikia hata kule Pemba wanataka CDM iende kuwakomboa na uhanga wa ndoa ya CCM na CUF
   
 3. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #3
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Ngome za CCM zilizosalia ni Lindi, Mtwara, Tanga, Dodoma.Add
   
 4. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #4
  Dec 24, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,293
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Pwani kwa wazarano.!!?
  Tabora kwa Wasukuma..!!
  Morogoro kwa Waluguru..!!
  Huku nako bado hajafikiwa na saa ya ukombozi.!!?
   
 5. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #5
  Dec 24, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180

  Haaa haaa! Mkuchika amrudishe CDM, au yeye huwa anawarudishia vyeo vyao wale wa udiwani tu?
   
 6. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #6
  Dec 24, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  red n bolded: kumbe ashafikia hiyo level, mbona ni mapema sana
   
 7. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #7
  Dec 24, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  sina uhakika na ufahamu wako wa maeneo ya makabila ya mikoa ya tz. Hivi wanyamwezi kwao ni wapi vileeee?
   
 8. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #8
  Dec 24, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  wewe ungeripoTi taarifa na kuweka ukweli hapa wana jamvi wapime.saSa umeandika hisia na chuki zako umeacha ukweli.wajinga ndio waliwao.ukweli ni kwamba shayo amehama cdm na kuhamia ccm kwa kile alichoeleza ni kuchoshwa na mambo uchaga na udini ndani ya cdm..ameelezea kuskitishwa kwake na kitendo cha kanisa kuwatenga waumini wake waliopigia kampeni ccm wakati wa uchaguzi mkuu mwaka jana.wewe unakurupuka na kuanza kuwalaum waliompokea badala ya kujiuliza kwa nn ameacha chama cha ndg zake wachaga
   
 9. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #9
  Dec 24, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  mwnykiti wa cdm wilaya akihamia ccm mamluki lakini balozi wa nyumba kumi akihamia huko ni shujaa kazi kwlkwl
   
 10. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #10
  Dec 24, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180

  Mbona Tundu Lissu naye nasikia kahamia CCM? Haaaa haaaa! Just kidding! Magamba msitangaze siku ya mapumziko kitaifa bure!
   
 11. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #11
  Dec 24, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Big Up vijana wenzetu wa CHADEMA Sumbawanga!

  Sauti zenu zimesikika kote nchini kwa kujitenga na huyo Shayo aliyenunuliwa kwa fedha za UFISADI. Kazi iendelee kukiimarisha chama zaidi na zaidi kijiji hadi kijiji mpaka Injinia wa baba kwenye makaratasi, Stella Manyanya, aje ashange na roho yake mwenyewe.

  Vijana wenzenu tunaombaa tuendelee kushirikishana taarifa juu ya mendeleo mapya ya CHADEMA kung'oa mafisadi Sumbawanga.
   
 12. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #12
  Dec 24, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Tumia akili yako japo mara moja moja.
  Kama chadema kuna uchaga mbona hakuondoka siku nyingi ama kusema?
  Je huyo shayo kwa akili yako unadhani ni mfipa? Kama kweli uchaga ndio umemuondoa chadema. The same old song-uchaga, tumeshazoea hakuna jipya hapo. Watu na njaa zao wanatafuta visingizio.
   
 13. Godlisten Masawe

  Godlisten Masawe Verified User

  #13
  Dec 24, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 739
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Umesahau Pwani kaka.
   
 14. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #14
  Dec 24, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Matatizo ya nje cup haya.
  Kwakuwa hukupata malezi timilifu ya pande zote mbili ndio maana unaandika ujinga tu hapo.
  Ungekuwa umepata malezi stahiki ungetambua ubaya wa kumnyanyapaa mgonjwa wa ukimwi lakini kwakuwa hukupata endelea tu kumwaga uharo!
   
 15. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #15
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180

  kweli yawezekana ni nje cup
   
 16. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #16
  Dec 24, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Malizia
   
 17. Godlisten Masawe

  Godlisten Masawe Verified User

  #17
  Dec 24, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 739
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kaka nina mashaka na kiwango chako cha elimu, nina amini wewe sio The Great Thinkers, hapa si mahala pako,mahala pako ni Michuzi blog, na kule Facebook.
   
 18. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #18
  Dec 24, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Naomba kujuzwa.

  Hivi huyu Shayo alikuwa mwenyekiti wa CDM wa Mkoa au Wilaya???

  Na je alihama na wanachama wengine wangapi??
   
 19. D

  Dr Willibrod Slaa Verified User

  #19
  Dec 24, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 675
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 60
  Nipe Tano,
  Huna aibu kuwanyanyapaa wagonjwa wa UKIMWI kwa misingi tu ya ushabiki wa kisiasa! Sina la kusema kwa mstuko mkubwa ila Mwenyezi Mungu akusamehe bure na kukufungulia akili uwe na moyo wa binadamu!
   
 20. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #20
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Dr. Slaa, afadhali umenisaidia kwa hili mwenyewe nimeshtuka sana. Kayaropoka haya katika juhudi za kuwatetea Magamba. Hata hivyo Mungu amsaidie.
   
Loading...