Nashangaa kuona wadau mbali mbali wakiandamana kupinga kuongezwa posho!

mashambani kwao

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
370
56
Jamani hili suala la posho spika alihitimisha kwa kusema tumeshaanza kuwa lipa sasa nashangaa watu wanaandamana kupinga lipi?kama sijaelewa naomba kueleweshwa.Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom