Mafuriko na Ulabu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafuriko na Ulabu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bitabo, Dec 26, 2011.

 1. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #1
  Dec 26, 2011
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,895
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Aisee nimecheka sana leo. Yaani these people have made my boxing day japo hakuna zawadi hata moja niliyopewa jana. Nipo naangalia ITV nawaona waathirika wa mafuriko Dar ambao wapo kwenye makambi maalum wanatandika Bia (beer) aina ya Safari eti wanajiliwaza na mafuriko. Watanzania bwana, Bata popote haijalishi mazingira wala nyakati
  Long live Tanzania.
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Dec 26, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,956
  Likes Received: 367
  Trophy Points: 180
  watu wamekata tamaa na maisha
   
 3. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #3
  Dec 26, 2011
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 5,910
  Likes Received: 2,181
  Trophy Points: 280
  Mi baada ya kupiga tatu tu pale nilihisi kama nimekuwa mbegu mpya
   
Loading...