Mh Magufuli na msururu wa wanahabari, hii haikubaliki

Mopalmo

JF-Expert Member
Nov 11, 2010
533
138
Salamu wana jf,nimekuwa nikifuatilia hali ya mambo na mbio za uraisi wa 2015,nimeamua nianze na huyu mheshimiwa ambaye kwa wasiofahamu wanaaminishwa na vyombo vya habari kuwa ni kiongozi bora kuliko wengine na angefaa kuwa raisi,mimi binafsi naukubali utendaji wake lakini naona walakini mkubwa katika uropokaji na kitendo chake cha kutumia msururu wa wanahabari tena wanaolipwa posho kwa kutumia kodi zetu,inaniuma sana kuona kodi zetu zinageuzwa za kupumbaza na kulaghai fikra zetu,Mungu ibariki tanzania
 
huyu ni mropokaji kama Mrema hafai kwa nafasi yoyote ya uongozi wa juu
 
Salamu wana jf,nimekuwa nikifuatilia hali ya mambo na mbio za uraisi wa 2015,nimeamua nianze na huyu mheshimiwa ambaye kwa wasiofahamu wanaaminishwa na vyombo vya habari kuwa ni kiongozi bora kuliko wengine na angefaa kuwa raisi,mimi binafsi naukubali utendaji wake lakini naona walakini mkubwa katika uropokaji na kitendo chake cha kutumia msururu wa wanahabari tena wanaolipwa posho kwa kutumia kodi zetu,inaniuma sana kuona kodi zetu zinageuzwa za kupumbaza na kulaghai fikra zetu,Mungu ibariki tanzania
Mapolmo, wanahabari nao ni watu, kama wanastahili hizo posho, hizi ni stahiki zao na sioni tatizo hapo.

Kama Mhe. Magufuli anawatumia hao waandishi na kuwalipa posho kwa fedha za kodi zetu ili kujinufaisha binafsi hapo ungekuwa na hoja, lakini anachofanya ni kwa kazi za umma na wanaofaidika na taarifa za waandishi hao, ni umma wa Watanzania tatizo liko wako?.

Watanzania wengi tuna tatizo la kuona kwa nini fulani apate!. Kuelekea 2015 kwa vile ni lazima tupate rais mpya, kwa waandishi hiki ni kipindi cha mavuno halali kwa jasho lao!.

Kadri siku zinavyokaribia, kila mwenye nia, lazima aunde the winning coalition na ndani ya timu hiyo lazima awe na waandishi na media itakayo mback up!.
 
wanahabari ndio waliorudisha imani ya J.K kwa Lukuvi kutoka ukuu wa mkoa DAR mpaka uwaziri

ukikaa nao vizuri wanakung'arisha
 
mwache apoteze muda wake kwa kutumia waandishi wa habari wakati wenzake wako bize wanawanunua wajumbe wa nec.yeye anafikri hao waandishi ndo watampigia kura ndani ya ccm? mwenye fedha nyingi ndiye atayeshinda kinyang'anyiro cha uteuzi ndani ya ccm hivyo inambidi abadili strategy kama anataka kufanikiwa.Mmasai mwenye sime ndiye atakayekula nyama,lkn mwenye fimbo ataishia kuswaga tu!
 
Mapolmo, wanahabari nao ni watu, kama wanastahili hizo posho, hizi ni stahiki zao na sioni tatizo hapo.

Kama Mhe. Magufuli anawatumia hao waandishi na kuwalipa posho kwa fedha za

Pasco hujanielewa swala ni kwamba wanahabari wanalipwa na vyombo vyao vilivyowaajiri viwe vya serekali au binafsi sasa ni inakuwaje na tanroads kuwa inawalipa wanahabari posho katika ziara za huyu waziri,ndio maana wanakua na msururu kiasi kile,mi huwa sikurupuki ku post kama sina hoja
 
Mapolmo, wanahabari nao ni watu, kama wanastahili hizo posho, hizi ni stahiki zao na sioni tatizo hapo.

Kama Mhe. Magufuli anawatumia hao waandishi na kuwalipa posho kwa fedha za kodi zetu ili kujinufaisha binafsi hapo ungekuwa na hoja, lakini anachofanya ni kwa kazi za umma na wanaofaidika na taarifa za waandishi hao, ni umma wa Watanzania tatizo liko wako?.

Watanzania wengi tuna tatizo la kuona kwa nini fulani apate!. Kuelekea 2015 kwa vile ni lazima tupate rais mpya, kwa waandishi hiki ni kipindi cha mavuno halali kwa jasho lao!.

Kadri siku zinavyokaribia, kila mwenye nia, lazima aunde the winning coalition na ndani ya timu hiyo lazima awe na waandishi na media itakayo mback up!.

hivi mskaji wangu lengo lako ungependa lowassa asiwe hata na mpinzani nini mzee??maana unahaha kila post kusaka anaonekana kuutaka urais mbali na lowassa anakua target yako...ndio maana nikasema wewe kama sio mh.lowassa basi lowassa anakulipa pesa ya kutosha sana
 
Mtu akifanya kazi yake vizuri mnaanza kumzushia hafai hafai nani sasa anafaa?!! mleteni anayefaa sasa..nchi hii imejaa watu wapuuzi watupu kila kona majungu majungu tuuu hatuwezi kwenda kama mnavyotaka...kwani kama anautaka urais shida iko wapi?!! ni haki yake kikatiba hata wewe nenda kagombee...

msiongee tu ovyo..Pombe anapiga kazi kuliko mawaziri wote hapa Tz na hilo liko wazi sasa wenye vijicho mnadhania nataka urais!!!
 
Wabongo noma! Yule haropoki lakini si muwajibikaji.Huyu mropokaji lakini ni muwajibikaji,lipi ni lipi? Kazi ni kwako ewe Mtanzania mwenzangu!

mi namkubali sana pombe!
Ana roho ngumu sana huyu!
Kama alithubutu kuwajibika kuuza nyumba za serikali basi anaweza kuuza mkeo huyu akiwa rais
 
Kama anausaka urais ni haki yake. Sina uhakika kama hao waandishi ndiye anayewalipa au waajiri wao! Go Pombe gooo bwana!
 
Wabongo noma! Yule haropoki lakini si muwajibikaji.Huyu mropokaji lakini ni muwajibikaji,lipi ni lipi? Kazi ni kwako ewe Mtanzania mwenzangu!

mkuu Kubingwa,huyu mropokaji magufuli akipewa nchi hatakubali upinzani wowote dhidi yake,ni dikteta mfano wa Idd Amin.Siwezi msahau jinsi alivyoshadadia uuzaji wa nyumba za serikali na kutukana yeyote aliyekuwa anapinga
 
Usidanganye watu Magufuli yuko juu ndo maana hata wewe umeona muhimu kuandika habari zake.
Wanahabari wanatafuta habari zitakazouza gazeti, kuna habari zingingine hata ukiwapa posho watakula na hawataandika maana hazina mshiko, nina ushahidi wa hilo. Magufuli anauzika, ukiweka habari yake lazima gazeti liende.

Najua chuki tu juzi kaisema CDM ndo imekuwa taabu. Jamani ushabiki unatuletea upofu wa kufikili vizuri!
Acheni kukurupuka bora tu umepost na wewe.
 
Back
Top Bottom