Jamani hata Serukamba!

watenda

Member
Mar 31, 2011
73
13
Baada ya Kamati ya Makani kutoa ripoti yake kuhusu sakata la Jairo na kupendekeza kung'olewa kwa Jairo na mabosi wake pale wizarani, kumeanza kujitokeza kwa kampeni za kutaka Rais atekeleze azimio hilo la Bunge.

Katika debe hilo linaloongozwa na gazeti la Mtanzania, jina la Peter Serukamba limejitokeza mara kadhaa. Wapiga debe hao, ambao ni wapiganaji wa mafisadi ndiyo wanaoendesha pia vita vya wazi dhidi ya Maige ili Serukamba arithi nafasi hiyo. Serukamba, mhitimu wa IFM na baadae kuunga unga shule huko Esami. Jamaa hata communication skills zake ni shida na hata huo uhasibu anaodai kuusomea na shida. Sifa pekee ni kuwa yeye ni mlamba miguu wa Lowassa na si vinginevyo.

Wana jamvi tumjadili jamaa kama anafaa.
 
W. Kaboururu
Z. Kabwe
P. Serukamba
Na yule MB-Mkigoma anayempa tafu Mbatia wanadisplay "mwisho wa reli" character
 
Peter Serukamba ni gamba pia.....na mara nyingi uwa anatete uharo wa serikali.
 
Hata siwaelewi hawa wanasiasa leo wako hivi kesho vile so sishangai hilo. Mi nlishangaa tuu siku ile beatrice shelukindo alivoanza kugwaya bungeni baada ya taarifa ya kamati teule kuhusu jairo kisa aligundua tuhuma inawagusa bigwigs na watu wa kambi yake ndani ya serikali other than jairo whom she was targetting!
 
Hivi huyu Serukamba siyo yule anayejishughulisha na viungo vya albino?
Samahani
 
Always remember this:
politicians are like bananas.......they are all yellow.....none of them is straight...!
 
Hivi huyu Serukamba siyo yule anayejishughulisha na viungo vya albino?
Samahani
Hapa hebu tuwekane sawa. Kama upo ushahidi hata kama ni wa uchache kuwa huyu bwana anajihusisha na ushenzi huo basi tuweke wazi ili tuwaponye ndugu zetu Albino naye awajibishwe
 
Uhasibu!!! si alisoma HGL Katalamba Secondary School- Rukwa hata BAM hajasoma. Hivi atakuwa na CPA kabisa?.Ndiyo maana anasema ubunge siyo lazima anaweza kufanyakazi nyingine. Hongera Serukamba
 
ninachojua kuhusu serukamba ni kuwa anapigania sana posho. Halafu kwa bahati mbaya yuko karibu na magufuli-yule rapa wa ccm
 
sio mtz ni mnyarwanda. muogopeni ana ukaribu na mke wa kagame pia hata akisachiwa anatakutwa na indanga muntu yani kitambulisho cha wanyrwanda wanaoish nje ya rwanda, hana uzalendo kwani sio mtanzania kabisa ni ni mtusi mwenye roho mbaya ya visasi
 
Hapa hebu tuwekane sawa. Kama upo ushahidi hata kama ni wa uchache kuwa huyu bwana anajihusisha na ushenzi huo basi tuweke wazi ili tuwaponye ndugu zetu Albino naye awajibishwe

Sura yake yenyewe ina apply! damu ya mtu ni mbaya sana
 
sio mtz ni mnyarwanda. muogopeni ana ukaribu na mke wa kagame pia hata akisachiwa anatakutwa na indanga muntu yani kitambulisho cha wanyrwanda wanaoish nje ya rwanda, hana uzalendo kwani sio mtanzania kabisa ni ni mtusi mwenye roho mbaya ya visasi

Mkuu Peter Joseph Serukamba si ni muha wa Kasulu au?
 
Back
Top Bottom