HAMADI RASHID na wenzake Kuhojiwa 27-28/12/2011

Mpui Lyazumbi

JF-Expert Member
Sep 1, 2010
1,856
371
Wakuu kwa mjibu wa RFA jion hii, Hamadi Rashid na wenzake wataanza kuhojiwa kesho na zoezi hilo litakuwa la siku mbili mfululizo kupitia kamati ya maadili ya CUF. Tufuatilie.
 
ndo maana nilimuona rashid jana kawa mnyonge kweli kwenye boti za azam akija znz
 
Nachowaomba CUF walitazame swala hili kwa jicho la tahadhari sana maana ukweli ni kwamba Maalim Seif amekidhoofisha chama hiki Bara vibaya sana na sii yule Maalim wa miaka ya 2000...CUF inakufa kwa sababu yake na sii mtu mwingine ukweli huo upo na wakiukataa ni kwa sababu ya ushabiki tu..
 
Walitazame vipi maana hujatoa suggestion yoyote.
 
Tunamkumbusha Hamad Rashid awe makini asije akafa akiwa anahojiwa kama yaliyomkuta Horace Kolimba maana kwa sasa mbinu za CUF na CCM ni moja tu! Kumalizana!
 
CUF inaelekea kubaya ila tangu zamani vyama vya siasa visiwani vilikuwa na mkwaruzano kwa sababu ya kugombea madaraka. Historia hujirudia na Hamad Rashid atapewa onyo au kufukuzwa kama Kafulila
 
Ngoma inogile. Chonde chonde msifukuzane uanachama nchi itafilisika kwa kurudia uchaguzi. Kodi ya kichwa haiko mbali.
 
Tunamkumbusha Hamad Rashid awe makini asije akafa akiwa anahojiwa kama yaliyomkuta Horace Kolimba maana kwa sasa mbinu za CUF na CCM ni moja tu! Kumalizana!

Kweli kabisa!
CUF wameolewa,halafu wamekana had asili!
Wamesahau kuwa hata mke aolewe,habadili kabila!
Wasijem-kolimba!
 
Walitazame vipi maana hujatoa suggestion yoyote.
Wayatazame madai ya Hamad Rashid kwanza na sii kumweka yeye kizimbani..Ya seif tunaita counterclaim maana madai ya Rashid ndio Principal..

Na iwe ni kutafuta suluhisho la Chama na uhai wake kulingana na madai yake Rashid maana mkosa kwa wanachama sii Rashid isipokuwa tunaweza sema kakosa nidhamu ilifuatia madai haya baada ya..
 
siasa za tz ni vipi? walianza cdm na chibuda. ccm wakafata na rostam.Nccr na kafulira sasa zamu ya cuf na Rashidi sijui atakaye fata ni nani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom