Salamu za mwaka mpya 2012! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Salamu za mwaka mpya 2012!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kindafu, Dec 26, 2011.

 1. k

  kindafu JF-Expert Member

  #1
  Dec 26, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,114
  Likes Received: 866
  Trophy Points: 280
  Merry Xmas kwa wana JF wote!
  Najua viongozi wengi wa Chadema huvinjari humu jamvini! Napendekeza Ofisi ya Katibu Mkuu Chadema iandae "Salamu maalumu za Mwaka Mpya 2012" kwa wana-Chadema na mashabiki wake, zikifanya tathmini ya yote muhimu yaliyojiri Mwaka 2011 ki-Chama na ki-Taifa, na kuweka bayana yaliyo mezani katika "Mpango Mkakati kwa Mwaka 2012". Hili litasaidia kuwezesha wote kutembea pamoja na kuvuta wengine kuona kuwa Chadema haikurupuki bali inakwenda ki-mkakati na kiko "focused"!!
  Nawasilisha!
   
 2. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #2
  Dec 26, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Nadhani ungeiweka hivii. Badala ya kutoa salamu za mwaka mpya kwa wanachama na mashabiki wa CHADEMA tu.
  Salamu zingekuwa kwa watanzania wooote. Maana Kitakaposhika madaraka hakitawashabikia wanchama na washabiki wake tu, baali watanzania wote.
  Naomba kutoa hoja
   
 3. O

  OSCAR ELIA Member

  #3
  Dec 26, 2011
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Sawa kabisa nakubaliana na maoni yako.
   
 4. k

  kindafu JF-Expert Member

  #4
  Dec 26, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,114
  Likes Received: 866
  Trophy Points: 280
  Asante mkuu! Ila binafsi niliwaza kupitia kundi hilo salamu hizo litalifikia Taifa kijumla! Pia kwamba kwa njia hiyo hamna mamlaka ya kuwahoji kuwa wametoa salamu hizo "kupitia/kwa mamlaka gani"! Tusisahau tuko "bongo" na "siasa na kesi za maji taka" ndo mtindo wa wenye dola!
   
Loading...