CWT Mbeya yawatimua viongozi wake na kuwatuhumu ni vibaraka wa CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CWT Mbeya yawatimua viongozi wake na kuwatuhumu ni vibaraka wa CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Godwine, Dec 25, 2011.

 1. G

  Godwine JF-Expert Member

  #1
  Dec 25, 2011
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Katika hari ya sitofahamu kwenye maslahi ya walimu nchini wamachama wa chama hicho mjini mbeye wamevamia ofisi za jumuia hiyo na kuwafukuza viongozi wa CWT na kisha kuzifunga ofisi zao. sakata hili linaelekea kuwa ndio mwanzo wa kuwafukuza viongozi wote wa chama cha walimu kwa usaliti na ukibaraka kwani inasemekana kuwa viongozi wa chama hiki wanatekeleza na kuelekezwa na makada wa CCM na wanashiriki kuchongea walimu walio mstari wa mbele wanaodai haki zao
   
 2. emmathy

  emmathy Senior Member

  #2
  Dec 25, 2011
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 146
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Moja kati ya ndoto zangu nikuona CWT inafutika au kubadilisha mfumo wao wakiutendaji, Mbeya wameanza mtasikia mengi
   
 3. k

  king11 JF-Expert Member

  #3
  Dec 25, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nasisi wa dar es salaam mara baada ya mwaka mpya tunawatimua viongozi wetu tumechoka kuona wabunge wanapewa maslahi manono huku viongozi wetu wakihongwa na CCM kutunyamazisha.


  Tumechochoka na umasikini wa walimu na si mpango wa mungu walimu wawe masikini
   
 4. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #4
  Dec 25, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Dar hamuwezi acha mkameruniwe tu,99%ccm ina lead
   
 5. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #5
  Dec 25, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Hari=HALI
  Wamachama=wanachama
  mbeye=mbeya
  sitofahamu=sintofahamu
   
 6. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #6
  Dec 25, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  Ndo dawa yao lakini sijui kama wote mtaweza maana nawaona kama hawajui hata kinachoendelea
   
 7. SILENT ACtOR

  SILENT ACtOR JF-Expert Member

  #7
  Dec 25, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Heko walimu wa mbeya, huu ni mwanzo mzuri.
   
 8. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #8
  Dec 25, 2011
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Maadam Mbeya wameanza basi Kilimanjaro, Kagera, Mwanza nao wafuate!
   
 9. k

  king11 JF-Expert Member

  #9
  Dec 25, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tumia muda mwingi kwenye mambo mazito, ndio maana watanzania tunaua mwizi wa shs 1000 tunaacha wezi wa madini yetu
   
 10. k

  kipinduka Senior Member

  #10
  Dec 25, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hao mbeya wamekulupuka,kama hafuati kanun na taratibu hz ni fujo kama wanataka wakae ktk mikoa yote na na azimio moja la kukata cwt kwan inashangaza ccm ina wanachama mil 5 wanatoa ada elf na mia 2,lkn cwt ada ni kubwa alaeu hamna wanachofanya,ukabila unachukua nafas robo 3 ya makatibu ni musoma kwa vl katibu mku musoma alafu wanawadanganya eti wanaanzisha benk kwan hyo benk watatoa ruzuku hawa ni wez hawana jipya,na was walimu wamerogwa c bure
   
 11. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #11
  Dec 25, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  Walimu Kigoma washafungua kesi dhidi CWT siku ambayo walimu watakuwa na sauti na chama chao ni siku CWT imekuwa au imebadilishwa nje ndani, ndani nje Hao makatibu wanajiona miungu
   
 12. G

  Godwine JF-Expert Member

  #12
  Dec 25, 2011
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  ​umenena vema
   
 13. G

  Godwine JF-Expert Member

  #13
  Dec 25, 2011
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  ​umenena vema
   
 14. Queen Kyusa

  Queen Kyusa JF-Expert Member

  #14
  Dec 25, 2011
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 651
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Natamani hiyo ndoto iwe kweli cwt ni wanyonyaji na wakandamizaji wa walimu, tatizo ndo ni ile dhambi ya ukondoo inatutafuna walimu kuamka ni ndoto ila kiukweli walimu wakiungana wanaweza kuwatoa hawa CWT
   
 15. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #15
  Dec 25, 2011
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Afisa taaluma wa wilaya ya mkuranga alikwenda kuweka mabango ya kampeni kwenye ofisi ya CWT wilaya*katibu wa cwt baada ya kuona mabango hayo aliamua kutoa na kumwambia yule afisa kuwa hapa sio mahali pa vyama ndipo akahamishwa na kwenda kushika chaki jamani walimu ondoeni hiki chama.
   
 16. Possibles

  Possibles JF-Expert Member

  #16
  Dec 25, 2011
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 558
  Trophy Points: 280
  Na bado.Tutaifundisha Serikali kuheshimu ugumu wa kazi za walimu.
   
 17. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #17
  Dec 26, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hatua hii imechelewa sana.Too much damage has already been done.it's too little too late.
   
 18. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #18
  Dec 26, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Na uzuri vijana wengi sasa tunaingia kwenye hii kazi na uelewa upo juu,watuajiri kwanza hayo tutaonesha huko huko,haiwezi mfano mwalimu wa Cheti alieanza kazi mwaka 2005 mshahara wa mwezi wa Nov CWT contribution ni sh 9878! Hizi hela zinafanya kazi gani kama sio kumfanya Mkoba na wenzie wazidi kung'aa tu? Imeniuma sana baada ya kuona ka salary ka shemeji yenu wamemkata hvyo
   
 19. G

  Godwine JF-Expert Member

  #19
  Dec 26, 2011
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  kwanza naomba niweke wazi kwa walimu kukatwa fedha zao na chama hiki bila ya ridhaa yao ni kosa na lazima wakae chini na kujadili kwanini wakatwe fedha nyingi na chama hiki mufilisi(CWT).

  pia walimu vijana lazima waanze kuleta mageuzi katika sekta ya elimu na wawaondoe awa akina mkoba kwani wamehongwa magari na kusaliti walimu wanyonge , kama walimu wakiokoka katika dimbwi la matatizo nadhani na polisi wataokolewa la sivyo watabaki kupanga kwenye nyumba za mabondeni na kuambiwa elimu yao ni wito huku wakuu wao wakineemeka na mafao yao na makato makubwa


  Ni muda wa mabadiliko tusingoje yazimike 2012 utakuwa ni shangwe toka vifungoni
   
 20. Kwamex

  Kwamex JF-Expert Member

  #20
  Dec 26, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  CWT bana, watatishia mgomo na walimu kupata mzuka wa mgomo kumbe lengo lao mwishoni serikali ije iwahonge wasitishe mgomo.....Chama cha kingese sana hiki.
   
Loading...