Nijuavyo mimi kwa akili yangu binafsi kazi kubwa ya bunge ni kuisimamia serikali,lakini kwa nchi yetu bunge limekuwa ni kijiwe kama vilivyo vijiwe vingine vya kupiga soga na kuziacha palepale bila...
Katoa uhuru mkubwa kwa vyama vya siasa na watanzania kwa ujumla. uhuru wa kutoa maoni umeongezeka katika mwaka wa 2011!!
kwa hili hata wanaomchukia jitahidini kumpongeza!!
wadau nimepata hasira sana kwenye hotuba ya Rais kuaga mwaka mpya.kila wakati anakemea yaleyale na majitu hayamsikilizi,mfano kero za walimu kila mara anapiga kelele lakini mambo ni yale yale,mf...
Ili kuhakikisha katiba mpya haipatikani,AG werema na Kombani wamechomeka kipengele ndaoi ya sheria ya mchakato wa kupata katiba mpya ambacho kitapingwa na hivyo kuchelewesha zoezi zima la mchakato...
Mwenyeketi wa kamati ya nishati na madini january anamalizia kuongea na baada ya hapo spika atamwita mwenyekiti wa kamati ndogo ya bunge iliyoundwa kuchunguza sakata la Jairo. Tuendelee kujuzana...
Waheshimiwa(Great Thinkers) wasomaji na wapenzi wa hii blog ya JF,nawasalimu wote na kuwatakia heri na fanaka za mwaka mpya 2012.nikiamini kwamba MUNGU ataendelea kuwa nanyi kwa kuwabariki na...
Video inajieleza...
"Smith is a Criminal" was the message, hiyo ilikuwa Tanganyika...
Sasa tuna a Banana Republic...
DIPLOMACY SUSPENDED - British Pathe
And then baada ya hapo...
Mwaka 2012 nadhani sasa ni mwaka mpya wa changes .Siku zote wakuu ninachukizwa na neno hili la mtu kuitwa Mheshimiwa .Yaani tunaacha kumwita Ndugu mbunge Regia tunamwita Mheshimiwa .Sipendi tena...
Maamuzi ya kubaki ama kutimuliwa ndani ya Chama Cha Wananchi (CUF), Mbunge wa Wawi kupitia chama hicho, Hamad Rashid Mohammed, sasa yamebakia kwa Katibu Mkuu wake, Maalim Seif Sharif Hamad...
kwanini CCM,serikali yao,viogozi wao na CUF na wabunge wao humchukia sana Tundu Lissu NAKUIKASHIFU SANA chadema "KUWA NA WABUNGE WENGI WA CCM BUNGENI NI JANGA LA KITAIFA" HEBU yasikie ya...
Great Thinkers,
Pamoja na ugumu wa maisha kwa watanzania, lakini hatuna budi kumpongeza Mh. Rais kwani kalitumikia taifa ktk mwaka 2011 kwa juhudi zake zote ktk kuhakikisha uchumi unaimarika na...
Friday, 30 December 2011 22:40
Anthony Kayanda, Kigoma.
KUNDI la vijana zaidi ya 400 wamemvamia mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe wakimtaka awatafutie ajira katika idara na...
Baadhi ya wanachama wa chama ca NCCR mageuzi wameanza kujiondoa katika chama hicho wakipinga kitendo cha hivi karibuni cha halmashauri kuu ya chama NCCR mageuzi kuwafukuza uanachama na kuwavua...
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Akili Mpwapwa
Polisi atoweka, akwepa tuhuma
ASKARI Polisi anayedaiwa kuhusika na wizi wa dola za Marekani 50,000 za kidhibiti katika kituo kikuu cha...
Fagio linalofagia madhambi ya lowasa yamesika kasi sijui kama mtaweza kutowa mafumbi ukoko kinyezi na nk mtaweza kutuongopea tena siju kama mtadumu kwa muda gani umu jf kwani hicho kibaruwa...