Mwaka 2015 natabiri ndo utakuwa mwazo halisi na uchaguzi wa kufuata dini. Kama Kenya wanavyofuata ukabila.
Mwaka 2015 natabiri ndo utakuwa mwazo halisi na uchaguzi wa kufuata dini. Kama Kenya wanavyofuata ukabila.
Tuko kwenye majonzi ya kupotelewa na Mtabiri naona watu wanagombania mikoba.
Sio hilo tu hata la ukabila limekwishaanza maana juzi tu tunamskia kamanda wa polisi kanda maalumu ya kipolisi ya Tarime-Rorya anatangazia umma wa watanzania kuwa kwani mkurya wa Nyamongo akiuawa an polisi wewe mtu {Tundu Lissu} wa Singida inakuhusu nini ama inakupunguzia nini kweli
wishful thoughts!!!! nadhani weye ni masalia ya Mtabiri Kajura ..sijui kaingilia wapi na kama katangulia basi mungu amrehemu.Mwaka 2015 natabiri ndo utakuwa mwazo halisi na uchaguzi wa kufuata dini. Kama Kenya wanavyofuata ukabila.
Mwaka 2015 natabiri ndo utakuwa mwazo halisi na uchaguzi wa kufuata dini. Kama Kenya wanavyofuata ukabila.