Mafagio ya lowasa mnatia bidii

3squere

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
925
181
Fagio linalofagia madhambi ya lowasa yamesika kasi sijui kama mtaweza kutowa mafumbi ukoko kinyezi na nk mtaweza kutuongopea tena siju kama mtadumu kwa muda gani umu jf kwani hicho kibaruwa kinaota majani na kazi mnayo, kama mtu ni msafi ni msafi tu na kama ni mchafu uwezi msafisha lowasa tafuta kazi nyingine ya kufanya na siyo siasa
Amen
 
"JK ANGALIKUWA MOD WA JF. MS ANGALIKUWA FREE KAMA LILIVYO TZDAIMA LA CHADEMA"

progress.gif
Nimeipenda signature yako, vipi una suala binafsi na huyo bwana mkuu wa kaya???
Mngeyamaliza huko wakati Admn ya JF inafikiria kumpa u-Mod, akitoka magogoni nadhani!!!
 
Ni dalili tosha kwambaKama JK atashindwa Kumuaondoa lowasa kwenye CHAMA.ni wazi ccm inapoenda ni kwenye shimo.Lowasa anakivuruga chama kupita vyombo vya habari.Mfano gazeti la JAMBOLEO ,MTANZANIA,RAI na TZDAIMA ni moja ya magazeti yanayokiboma ccm.baadhi ya wanasiasa hata wa CDM wamjiwekeza kwa LOWASA.hii inakipa wakati mgumu wa CCMkama utaangalia midahalo mingi kupitia tv zetu, wachangiaji wengi wanaiona ccm kama mzigo laufisadi .wanaopiga simu wengi huiponda ccm na kuona kinaogopa watu na kuzidi kuididimiza ccm kwa wananchi.Endapo atataokea kiongozi wa CCM kwenye mdahalo huo,basi anatakiwa awe na subira za hali ya juu.Hya ni wazi ni matunda Ya JK Kukumbatia Lowasa.kama lowasa atadumu katika Chama,tunakoenda ni giza nene litatokea.wafuasi kama MALARIA SUGU itabidi waasi chama.CCM yetu bado inapendwa sana ,wanaokivuruga ni wanasiasa wachache LOWASA na Kundi lake.
MS kama unakiri huko muendako ni giza nene basi tatizo liko kwa dereva wenu, huo ufisadi au kufukuzana lazima kuanzie kwake dereva la sivyo giza haliepukiki.
 
MS umemaliza maadhimisho ya uhuru nilikuona pale getini ukiuza ubuyu na kachori, karibu jamvini
 
"JK ANGALIKUWA MOD WA JF. MS ANGALIKUWA FREE KAMA LILIVYO TZDAIMA LA CHADEMA"

progress.gif
Nimeipenda signature yako, vipi una suala binafsi na huyo bwana mkuu wa kaya???
Mngeyamaliza huko wakati Admn ya JF inafikiria kumpa u-Mod, akitoka magogoni nadhani!!!

Mambo ya Cameruni hayo
 
Ni dalili tosha kwambaKama JK atashindwa Kumuaondoa lowasa kwenye CHAMA.ni wazi ccm inapoenda ni kwenye shimo.Lowasa anakivuruga chama kupita vyombo vya habari.Mfano gazeti la JAMBOLEO ,MTANZANIA,RAI na TZDAIMA ni moja ya magazeti yanayokiboma ccm.baadhi ya wanasiasa hata wa CDM wamjiwekeza kwa LOWASA.hii inakipa wakati mgumu wa CCMkama utaangalia midahalo mingi kupitia tv zetu, wachangiaji wengi wanaiona ccm kama mzigo laufisadi .wanaopiga simu wengi huiponda ccm na kuona kinaogopa watu na kuzidi kuididimiza ccm kwa wananchi.Endapo atataokea kiongozi wa CCM kwenye mdahalo huo,basi anatakiwa awe na subira za hali ya juu.Hya ni wazi ni matunda Ya JK Kukumbatia Lowasa.kama lowasa atadumu katika Chama,tunakoenda ni giza nene litatokea.wafuasi kama MALARIA SUGU itabidi waasi chama.CCM yetu bado inapendwa sana ,wanaokivuruga ni wanasiasa wachache LOWASA na Kundi lake.

Kumbe siku nyingine huwa na mawazo yaliyotulia eeh!? Magamba imeshajifia siku nyingi sana sasa hivi ni kusubiri tu kuizika maana haitaweza kabisa kurudisha hadhi iliyokuwa nayo wakati wa Mwalimu ambapo Chama kilionekana ni watetezi wa Wakulima na Wafanyakazi lakini miaka hii kimegeuka na kuwa watetezi wa Mafisadi na waporaji wa rasilimali zetu toka nchi za nje.
 
Kwa taarifa nilizonazo gazeti la Jambo leo lina mkono wa Riziwani Kikwete, sasa kama mtoto anatumika kuihujumu serikali ya Baba yake hili limekaaje?
Na kuna mahojiano amefanya na Mirlad Ayo ambayo yatarushwa kwenye redio ya Wafu, nasikia wana kipindi kinaitwa Amplifire, kwa wale ambao hamna aleji na redio hiyo msikilize hicho kipindi halafu mtujuze huyo Riziwani anasemaje maana nimeskia amewarushia dongo ZITO ccm.
Binafsi nilishaipa ban nyumbani kwangu hiyi Redio ya wafu, kwahiyo natarajia wadau mtakaosikiliza mtujuze.

384859_200459370038904_179250545493120_447999_1720177424_n.jpg
 
Ni dalili tosha kwambaKama JK atashindwa Kumuaondoa lowasa kwenye CHAMA.ni wazi ccm inapoenda ni kwenye shimo.Lowasa anakivuruga chama kupita vyombo vya habari.Mfano gazeti la JAMBOLEO ,MTANZANIA,RAI na TZDAIMA ni moja ya magazeti yanayokiboma ccm.

baadhi ya wanasiasa hata wa CDM wamjiwekeza kwa LOWASA.hii inakipa wakati mgumu wa CCMkama utaangalia midahalo mingi kupitia tv zetu, wachangiaji wengi wanaiona ccm kama mzigo laufisadi .wanaopiga simu wengi huiponda ccm na kuona kinaogopa watu na kuzidi kuididimiza ccm kwa wananchi.

Endapo atataokea kiongozi wa CCM kwenye mdahalo huo,basi anatakiwa awe na subira za hali ya juu.Hya ni wazi ni matunda Ya JK Kukumbatia Lowasa.

kama lowasa atadumu katika Chama, tunakoenda ni giza nene litatokea.wafuasi kama MALARIA SUGU itabidi waasi chama.CCM yetu bado inapendwa sana ,wanaokivuruga ni wanasiasa wachache LOWASA na Kundi lake.
Naona pumba kwa mbaaali ndu ms
 
Licha ya jina lake kuchafuka kila kona ya Tanzania lakini huyu nadhani ni kiongozi mtekelezaji na si mzungumzaji.

Nakumbuka mwaka 2001,alimkaripia Mwandisi wa maji mkoa wa Lindi Bw.Monjesa,wakati huo alikua waziri wa maji na mifugo na kumpa masaa 24 na kuahidi kumuadhibu kama asingetekeleza.

Wakazi wa kata ile walipata maji.Embu mwenye kumbukumbu nzuri za utekelezaji wake atumwagie!
 
Jitahidi kumpigia kampeni. Usichoke.

Magamba wenzake watampa nafasi?

Kuna CDM wanasema wana uhakika wa ushindi 2015

Wazanzibari (Seif) wanataka Urais kwa kupokezana.
 
Jitahidi kumpigia kampeni. Usichoke.

Magamba wenzake watampa nafasi?

Kuna CDM wanasema wana uhakika wa ushindi 2015

Wazanzibari (Seif) wanataka Urais kwa kupokezana.

sijui kama itawezekana aa wapix2
yule niliye mpenda sana aa wapix2
 
sijui kama itawezekana aa wapix2
yule niliye mpenda sana aa wapix2
Ni nani huyo uliyempenda sana? ambaye unafikiria hakuna uwezekano wa kuwa Rais/Rahisi?
Mtangaze tu na umsaidie kupiga domo aka kampeni. Ndio siasa zilivyo.

Kama Jaluo, mtu nyeusi imeweza kuwa Rais/Rahisi US badi katika dunia hii hakuna kisichowezekana.
Hata Anna Makinda atakwambia hakuna kisichowezekana.
 
Jitahidi kumpigia kampeni. Usichoke.

Magamba wenzake watampa nafasi?

Kuna CDM wanasema wana uhakika wa ushindi 2015

Wazanzibari (Seif) wanataka Urais kwa kupokezana.

Usinitafsiri kwa mtizamo hasi pekee.

Unapaswa pia kuangalia nini ninachokilenga endapo atapewa mamlaka makubwa na mtizamo wangu kua Tz itakua na taswira tofauti ya mkuu wa sasa.
 
Back
Top Bottom