Mwalimu Nyerere Alithubutu-He Suspended Diplomacy With Britain...Nani Angethubutu?

jmushi1

Platinum Member
Nov 2, 2007
24,990
22,523
"The road isn't too bad to begin with..." huku wanakuonyesha barabara tope tupu. Waingereza wana madongo ya chinichini, unaweza kufikiri mtu anakusifia kumbe anakubonda.
Backhanded compliments.
 
Duuh!
jmushi!, thanks for this link of Washington Afro american. Nilikuwepo Nashville hiyo August 1977.
You're welcome mkuu, unaweza kutupatia mawili matatu kuhusiana na August 1977 in Nashville?

Ukweli ni kwamba viongozi wa Africa walikuwa wanapewa respect back then...
 
Video inajieleza...

"Smith is a Criminal" was the message, hiyo ilikuwa Tanganyika...

Sasa tuna a Banana Republic...

DIPLOMACY SUSPENDED - British Pathe

And then baada ya hapo alisikilizwa...Hiyo wakaita politics in ACTION...Myonge myongeni haki yake mpeni, mwalimu was unique kwenye diplomacy na kwa msimamo ndo mwenyewe...He was heading Afican struggles kiana, he was front...

POLITICS IN ACTION - British Pathe

EAST CENTRAL AFRICA SUMMIT MEETING - British Pathe

Unataka tu-suspend uhusiano na nani ili kukuthibitishia kwamba hii siyo banana republic and what would be the reason for doing so? You sound educated but not learned!
 
Unataka tu-suspend uhusiano na nani ili kukuthibitishia kwamba hii siyo banana republic and what would be the reason for doing so? You sound educated but not learned!

Kama hujui kwamba ni juzi tu Israel imetusemea mbovu mbovu, basi wewe hujijui.

Kiongozi yeyote wa nchi anayetambua wajibu wake hawezi kuruhusu nchi yake idharaulike tu huku yeye akichekacheka.
Tatizo la kutegemea umatonya kuendesha nchi. Kagame tu alisitisha uhusiano wa kidiplomasia na ufaransa hadi heshima ikarudi na Sarkozy akaenda Rwanda.

Hapa kwetu hakuna lolote ni usanii na longolongo tu za maneno makavu.
 
Back
Top Bottom