Hivi wasaidizi wa Rais ni viziwi au hawamweshimu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi wasaidizi wa Rais ni viziwi au hawamweshimu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kimboka one, Jan 1, 2012.

 1. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #1
  Jan 1, 2012
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  wadau nimepata hasira sana kwenye hotuba ya Rais kuaga mwaka mpya.kila wakati anakemea yaleyale na majitu hayamsikilizi,mfano kero za walimu kila mara anapiga kelele lakini mambo ni yale yale,mf mdogo angalia swala la madai ya likizi serikali ililipa na rais akaamuru mtu asiende likizo bila kulipwa lakini hata mwaka haujaisha tayari kuna deni la m 52,tena ametoa amri hiyohiyo na kuwataka wahusika maelezo,sijui kama watampelekea maelezo hayo.ata kama ni kumkomoa hii imepitiliza jamii,ukienda ofisini kutaka hudumu akirejea maagizo ya rais wanakuambia huyu ni mwanasiasa hajui yanayoendelea huku ofisini.rais chukua maamuzi magumu wakuheshimu nanyi wafanyakazi tekelezeni amri ya mkuu wa nchi,mnawatesa sana walimu wetu ndiyo maana wapo kwenye mgomo baridi.
   
 2. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #2
  Jan 1, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,155
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Achukue maamuzi magumu yepi wakati watendaji wote ni masela wake
   
 3. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #3
  Jan 1, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mbona sikuelewi,yaani unaomba jk awachukulie hatua hao viongozi,hujui kama wao tayari walishamchukulia hatua na ndo maana hakuna lolote linaloendelea.wake up................
   
 4. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #4
  Jan 1, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,438
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Yeye anaagiza walimu walipwe wakati kwa mfano Halmashauri moja inapata fungu la kulipa likizo walimu kwa mwaka ni Tsh milioni 10, na kulingana na idadi ya walimu wataoenda likizo kwa mwaka huo unakuta wanahitaji milioni 37, sasa hawa maafisa utawala watatoa wapi hilo pengo la milioni 27 kulipa walimu wote mafao yao ya likizo!!??
   
 5. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #5
  Jan 1, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hii hotuba ya Kikwete inadhihirisha kuwa serikali inaibiwa big time na yeye anajua. nadhani ameshaindwa kukomesha wizi huo
   
 6. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #6
  Jan 1, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Like father like son!
   
 7. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #7
  Jan 1, 2012
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,435
  Likes Received: 2,308
  Trophy Points: 280
  F#ยค*K
  Inabidi elimu inayotolewa Tz ifanyiwe mageuzi makuu kwa sababu wahitimu wengi wanakuwa na mawazo finyu sana. Sasa wewe huoni Tanzania kwa sasa iko kwenye ombwe kuu la uongozi? Kila mtu analalamika, Kina Jussa wanaita wengine wapumbavu...... uf na pale Ikulu kuna kiumbe kimekaa eti kina ubongo kama binadamu...
   
Loading...